Recent content by Abdillah Mikidadi

  1. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Kamanda Siro akiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU)

    Dah huku dogo wa kushoto nilikua Na jkt duu
  2. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Miili ya askari 14 waliouawa Congo kuwasili leo Uwanja wa ndege Dsm saa 12 jioni

    Na ndomana ukaona wazanzibar wengi kwa sabab ni zamu ya brigade ya Zanzibar Na hivyo ni vikosi vya Zanzibar vingi ndo vimetoa Askari wake kwenye vikosi vyake
  3. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Miili ya askari 14 waliouawa Congo kuwasili leo Uwanja wa ndege Dsm saa 12 jioni

    Iyoo kijeshi haipo Askari wanavyotumwa mission huwa wanakwenda kibrigade yan iyoo tanzabati ya Kongo Safar hii ni zamu ya bigade ya 101KV ya Zanzibar
  4. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Miili ya askari 14 waliouawa Congo kuwasili leo Uwanja wa ndege Dsm saa 12 jioni

    Kama hujui taratibu za kijesh kausha sawa mission huna zinakwenda kibrigade sio kama unavyozania ww boyaa
  5. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

    Hakuna atakae ish milele hata mm Na ww tutakufa boya wee
  6. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa atinga bandarini na kukuta magari 44 yakitaka kutolewa kwa kutumia jina lake

    Nyinyi ndo wale wale kitambaa kimoja tofaut mishono tu
  7. Abdillah Mikidadi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Muda wa kusal unapata Na hakuna mtu yoyote atakekuzuwia ww usifanye ibada nia yako Na iman yako tu ndo itakufanya udumu kwenye sala au kuwacha
Back
Top Bottom