Recent content by Abdi hussein

  1. Abdi hussein

    Habari! Naomba mwenye mbegu za Azolla Korogwe

    Habari za jioni wakulima wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza ninahitaji mbegu za Azolla kwa chakula cha Kuku na mm napatikana Korogwe, Asanteni
  2. Abdi hussein

    Mbona sioni habari yoyote kuhusu Somaliland?

    Nadhani uwizi utakua mdogo sana
  3. Abdi hussein

    Mbona sioni habari yoyote kuhusu Somaliland?

    Ni kweli lkn Kuna harakati kubwa za kutambuliwa kimataifa zinafanyika, japo Kuna mataifa tayari yanatambua na pia uwizi ni mdogo sana watu Wana wacha Mali zao kwa kwenda Kuswali na kukuta salama.
  4. Abdi hussein

    Mbona sioni habari yoyote kuhusu Somaliland?

    Habari za Mda huu, Nimeona Habari nyingi za kimataifa lakini sijawahi kukutana na taarifa za Somaliland. Somaliland ni jamhuri kamili ambayo ilikua ndani ya Somalia lakini muda Sasa imejitenga na kuwa na Serikali yake na bendera yake na ninaona kwenye taarifa zingine za habari ni nchi yenye...
  5. Abdi hussein

    Visiting Nairobi International Agriculture show

    Ni kweli leo mabanda yalikua yana ukaguzi watu walichelewa sana kuingia na wengi wao ndio walikua wanaanda mabanda, mi nilionelea niende leo kwasababu ntasafiri kurudi TZ niende siku mbili hizi
  6. Abdi hussein

    Visiting Nairobi International Agriculture show

    Leo nilienda kwenye maonyesho, lkn hayajachangamka Sana, lkn nashukuru vitu nilivyokusudia kuviona nimeviona, kwa tar. yenu mliokusudia kuja nadhani yatakua yamechangamka sana,
  7. Abdi hussein

    Ile safari ya Nairobi International Agriculture show

    Sawa Mkuu sio mbaya tukakutana
  8. Abdi hussein

    Ile safari ya Nairobi International Agriculture show

    Nadhani ntakua Nairobi bado tunaweza tafutana kwa NO. Hii 0741279972 ili tuwe campany
  9. Abdi hussein

    Biashara ya chips Dar

    Dar maeneo yoyote unapiga Kazi Bro wacha kupoteza mda.
  10. Abdi hussein

    Ni yapi Matunda ya muda mfupi?

    Panda ndizi,kuna ile mbegu kutoka south Afrika miezi 9 unavuna na mkungu 1 hawezi kuubeba peke yako mpaka muwe 2
  11. Abdi hussein

    Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Hongera sana mkuu.kwa ushauri kdgo mana hata mm niko tanga,wilaya ya korogwe.kuhusu mitiki ningekushauri kama hill shamba lako lipo kwenye bonde kdgo na udongo mweusi,lkn kama ukiweza kupanda mikaratusi utakula hela nzuri mapema zaidi ya mitiki na maeneo mengi ya huku kwetu ya stawi vzuri.mi...
  12. Abdi hussein

    Imported Used bicycles aina zote,New & used Motorbike,Alloys rims n tires used auto parts from Japan

    Mi nataka used tyre size 195/R 14 na 195/70/R 15.utauza bei ya jumla shilling ngapi?
Back
Top Bottom