Recent content by abdel lio

  1. abdel lio

    Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Mada kama hizi lazima tuwe tunasoma. Kwanza tupate contents za kutosha ndio tuje tuongee Muammar Gadaffi mpaka vuguvugu la mapinduzi linaanza dhidi ya Gaddafi sababu kubwa walimlaumu anatapanya fedha Afrika nzima wa Libya wanaishi kwa shida ila sio shida hiiizo ni basi tu raha zikizidi watu...
  2. abdel lio

    Mashine ya kimarekani ya kivita M240 Bor m240 l

    Hilo dubwana la juu nato wanaliita white swan ni hatari sasa kuna jenzake nato wanaliiota the black fire au jina rasmi ni TU 22M3 hatariiiii fire
  3. abdel lio

    Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

    Simply ni kwamba Africa ilikua inaendelea kwa kasi ndogo hilo halina unishi ila walipokuja wazungu wakowavuruga watu wa enzi hizo nwa wakaanza kujenga nchi zao kupitia rasilimalli za Africa pamoja na nguvu kazi miaka karibuni 500 wanajenga kwao wakastop Africa so kufidia gape la miaka 500 mpaka...
  4. abdel lio

    Israel yatishia kuangamiza mitambo ya Russia endapo itahatarisha Pilot wake hata kama warusi wakiwepo

    Ndugu hapa umedanganya sana Mkumbuke kua kuna rescue mission ilifail Hezbollah waliteka askari saba watano waliuawa baada ya kushindikana kuwaokoa wawili walirudishwa Israel kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa
  5. abdel lio

    Vitalis Maembe: Makonda shika adabu yako, Chuo cha Sanaa Bagamoyo si sawa na wasafi wa nguo

    Wengi tunaongea kwa mapenzi binafsi lakini ningependa kuongea kwa uhalisia (circumstantial facts) ambao nimeshuhudia kwa macho yangu kwa sababu mimi ni mkazi wa bagamoyo tangu 2003 ( muhamiaji) tangu hiyo 2003 najua ni muda mfupi sana ukilinganisha na umri wa chuo lakini nimeona vijana wenzangu...
  6. abdel lio

    Theft at the FINAL Security Checkpoint in Dar Int'l Airport*

    Statement given in good faith bro dont rise irrelevant aspects you celebrate theft.? to smuggle government trophy doesn't done by themselves from nowhere but its is contributory simply our leaders and them sometimes you need to think in 3 dimensions
  7. abdel lio

    Theft at the FINAL Security Checkpoint in Dar Int'l Airport*

    Ukitaka kumficha kitu mtanzania weka kwenye maandishi by the way thank you for precautions
  8. abdel lio

    Misingi, itikadi za dini na mabomu ya kujitoa mhanga

    Mwandishi umeandika lakini kuna maeneo upo total wrong Cha kwanza jihad kwa kiswahili sanifu maana yake ni Jitihada yaani kufanya jitihada katika kuyaendea mambo unaposema dini ya uislam ilienezwa kwa jihad ni uongo jihad kwa upande wa vita ilianza pale mateso na uonevu vilipokithiri dhidi...
  9. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Hahaha simply unaelewa kwamba Mungu anajua yaliyopita,yaliyopo na yajayo Muhammad alikua anakutana na wakati mgumu sana na vichwa vigumu sana mpaka muda mwingine akidhani yeye ndo wa kwanza kukutana navyo sababu ni mwanadam kama mm na ww hajui yaliyopita wala hajui yajayo isipokua tu ni wahyi...
  10. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Absolutely right [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumejiumba wenyewe bhana au shetani???
  12. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Yap atleast ni hvyo ukiwa pwani ya bahari nyeusi muda wa machweo ya jua kwa mtu asiejua rotation anaona kama linazama kwenye hayo maji meusi na ndo lengwa kuitwa matope meusi
  13. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Yani jamaa kaandika uzi alafu tayari kajiandalia na majibu ya na tayari ana mtazamo wake kaja kuweka hapa ili watu wajue mtazamo wake juu ya jambo husika sasa yote ya ya nini si ungebaki na mtazamo wako huko huko unasoma Quran masaa matatu then unajifanya umeshaielewa yote angali aya moja...
  14. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Alafu unapochambua Qur'an sio kama gaazeti inakua na mtiririko wake sio kama statutes kwamba ukichukua section moja inatosha kukamilika kwa maana ya jambo hutegemeana na mtiririko wa kisa kizima
  15. abdel lio

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Jamaa yangu ni metaphor language hapo ndo imekuchanganya ukikaa pwani ya bahari nyeusi kutokana na dunia kuwa duara utaona kama jua linazama kwanye hiyo bahari that's all
Back
Top Bottom