Recent content by Abdclassic

  1. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Kila lakheri fundi wa boli, Jean C. Ahoua! Unaondoka Tanzania bila tuzo yako uliyofanyiwa figisu na watu flani usipewe ili apewe mchezaji wao

    sasa shida ni Yanga au TFF kaka, au umechanganyikiwa..? ila umvp hawezi kupewa kwasababu hastahili hata
  2. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Ps5/Ps4 Digital Games Installation

    Mimi nahitaji account
  3. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Nitawadharau Yanga mkicheza mechi itakayopangiwa tarehe nyingine dhidi ya Simba

    Hata mimi nitawadharau sanaa
  4. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Kwa mkapa tulipowakatalia simba wasiingie
  5. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Lakini yanga ilikuwa mbovu Simba anachukua kombe mara 4 mfurulizo lakini hajawahi kumfunga Yanga nyumbani
  6. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

    Kunawatu wanaandaa post vizuri ila kumbe ujumbe wandani utumbo, ndo kama wewe.. unaonyesha kabisa unamapenzi natimu flani
  7. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Natunzaa maandishi yako utakuja kukubali tu…
  8. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Ila Mashabiki Wasimba Nimewachoka😂🥹.. wakifungwa Wenzao ohhh tumenunua Mechi.. wakifungwa wao Ohhh Wachezaji wetu wameuza Mechi😭😭 Basi Yanga Hatuna uwezo wa Kucheza tunatoa hela Nyingi kununua Mechi🥶🥶
  9. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu, je hawa Wetrack wanaweza kunisaidia?

    Mimi nafanya kazi zasimu... hata wakiipata hawatoweza kukupa mpaka polisi... nakushauri kaongee napolisi waupelelezi
  10. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania KU BYPASS IPHONE 13

    Inawezekana ila ikiwa imefika Ios 17 inasumbua kidogo
  11. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwenye Tuta

    natumahi humu wote niwazima…!! Naswali kidogo. Eti napotaka kununua Pc nzuri naangalia nini..?? 1) Processor 2)core i1,i2……… 3)Generation 4)ukubwa wa Ram 5)inayotumia HHD au SSD
  12. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Nani asiyejua kwamba Ihefu imechoka?

    Wewe uliyepost hujielewi na unajidharirisha…??
  13. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Studio Session

    Kwanini tusitengeneze uzi maalumu kwaajili yawaimbaji wanaoanza kujifunza uandishi, melodies?
  14. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

    roonaldo,rooney nawachezaji woteee wa yanga 2023-2024
  15. Abdclassic

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    wanapewa faulo zq upendeleo kabisa mchezaji wa congo akitolewa Stendi sio faulo aila kwao Faulo
Back
Top Bottom