Recent content by Abdallah Thomas

  1. A

    DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Je suala la mkataba wa DP world limekaaje kwa sasa baada ya muda wa mkataba kuwa miaka 30
  2. A

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    nahisi sana kuwa system ya nchi imehusika kumpiga risasi.kwakuwa alilalamika kuwa anafuatiliwa na watu lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Tusiwe wepesi sana wa KUONGEA-KUTOA MAJIBU RAHISI KWA VITU TUSIVYO FAHAMU.Je kuna yeyote mwenye uthibitishi babu duni amejiyoa?
  4. A

    Ndege za arabuni zimetua Loliondo Ngorongoro

    Mimi binafsi nitaipigia kura yangu kwa UKAWA
  5. A

    Ndege za arabuni zimetua Loliondo Ngorongoro

    Ndiyo maana nawaambieni mwaka huu ni lazima tufanye mabadiliko. CCM lazima tuing'oe madarakani
  6. A

    Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Mwanamke anapoomba pesa haina maana kuwa yeye hana pesa , hivi hata angekuwanazo angeomba tuu, au yupo tayari akachukue mshagara halafu aanze kukuomba kidogokidogo. Mwanamke ni tegemezi kwa mwanaume
  7. A

    Baadhi ya wabunge wa CUF na NCCR wagoma kupewa uwaziri kivuli na CHADEMA

    MAJIBU KWA MASWALI YAKO MUHIMU Hongera sana kwa jitihadazako za kufuatilia kiundani sana siasa za Tanzania, hakika wewe nunaonesha hali ya kuwa ni mwanamapinduzi hodari. 1.Ushirikiano huu umeanza leo kwakuwa CHADEMA ni chama makini kinachosoma na kufuata ishara za nyakati.CHADEMA imeona sasa...
  8. A

    Je hii ni kawaida au kuna tatizo?

    Nadhani hiyo ni hali ya kawaida kwa watuwaliozoeana na kuwa karibu sana, hivyo mmoja wao anapojisikia shida fulani kiafya na mwenzake pia anaweza kuathirika kisaikoloja na kujisikia hali kama ya mwenzake.kumbe na wewe huyo ni mke wako ni mwili mmoja, pengine mnashirikiana vitu vingi hivyo na...
  9. A

    Hivi Mkapa anamkubali JK?

    asante sana wewe sijui dada au mamdogo, tufafanulie wazi je unataka ukuu wa wilaya maana JK ni maarufu sana kwa totoz, je na wewe ni moja wa hao totoz hadi umtetee hapa hadharani. Je alivyo vurunda kwenye kuzindua bunge la katiba hukumwona?
  10. A

    Barabara hizi za lami zitawabadili kweli wana Handeni

    Hatupaswi kuwa na mtazamo hasi kwa maendeleo ya wenzetu, tuelewe wazi kuwa barabara nzuri ni njia ya maendeleo.Umeshasema kuwa wageni ndiyo wanaotumia hizo barabara kwenda kununua ardhi, kwa upande wangu hiyo pia ni element nzuri kama hao wageni ni Watanzania wenzetu ambao wanaenda kujenga na...
Back
Top Bottom