Siwezi kumuunga mkono mfanya biashara katika siasa, mwanasiasa ni mwana philosophia, ila mfanya biashara ni capitalist, huo utofauti wa mawazo, ni utofauti wa maamuzi pia, kila mtu yuko kwa maslai yake, lakini mfanya biashara anaangalia maslai yake tu, kila mtu ana kiwango cha ukichaa wake, ila...