Recent content by Abdallah Masoudi

  1. Abdallah Masoudi

    Sababu Yako 🥲

    SABABU YAKO: Sikulaumu wala siwezi kuja kulaumu, Ila ni sababu yako mimi kuwa hivi, Ni aghalabu kuona tabasam langu yani nimekuwa chakaramu, Unapokuwa kibogoyo ni nadra kutafunia fizi, Ila kwakweli nimezidi maana huu si ubinadamu. Nimekuwa sisikii na nikisikia siambiliki hata uwashe spika...
  2. Abdallah Masoudi

    Mpenzi laazizi nyonga mkalia penzi

    MPENZI: Mpenzi laazizi nyonga mkalia penzi, Nakupenda kama njaa ipendavyo shibe, Nimeamua hili huba kulitilia tui la nazi, Nitaliundia na kamati ya ulinzi wasiliibe. Unajua nini babe, sio tu nakupenda la hasha! Napenda kujiona navyokupenda wewe, Wakisema nakupenda pia nabisha, Naweza sema ni...
  3. Abdallah Masoudi

    Love poem

    Siku hizi wanaelewa pesa tu
  4. Abdallah Masoudi

    Love poem

    Why should love I love you Is just a sentence Contains there words But why it becomes so toxic They say love is everything They say live without love Is like garden without flower And the beetles will die What if love never love itself What if because of love Many people are doing...
  5. Abdallah Masoudi

    Shairi la mapenzi

    USIPOMSIFIA: Usipomsifia wewe, Wapo wa kukusaidia, Tena si kwa mayowe, Jinale watamwita Dia. Usiposifia chochote, Umeshawapa ushindi, Hata umvishe Pete, Wanajiita wahindi. Usipomsifia mkeo, Unapunguza mapenzi, Kwanza wavuliwa vyeo, Wanaveshwa washenzi. Kwanini usimsifu? Acha umajinuni, Mfanye...
  6. Abdallah Masoudi

    Shairi la mapenzi

    Nipo Mbali: Nipo mbali unajua, Simu ndo kiunganishi, Kwa nilicho kigundua, Kukuwaza hakuniishi. Najua unalijua, Mwanamke ni stara, Usije jishebedua, Samaki msafi ukimpara. Sio tu umevua, Ukamtia jikoni, Tumbo litakusumbua, Usipende uhisani. Nipo mbali ila hai, Nitarudi hivi punde, Ilinde yako...
  7. Abdallah Masoudi

    Jamani nimetapeliwa

    Pole sana ndugu. Ila liwe somo kwako kwa kipindi kijacho
Back
Top Bottom