Recent content by Abdallah M. Nassor

  1. A

    SUMATRA fuatilieni utapeli huu AZAM MARINE

    niliinjoi ila haikuwa dhamira yangu. hali ni ngumu, elf 10 napata futari pale forodhani
  2. A

    SUMATRA fuatilieni utapeli huu AZAM MARINE

    Sawa mkuu leo nataka kushughulikia hili suala
  3. A

    SUMATRA fuatilieni utapeli huu AZAM MARINE

    Habarini wakuu! Niende moja kwa moja juu ya utapeli unaofanywa na wakata tiketi wa boti za Azam. Mnamo siku ya Alhamis majira ya saa saba mchana nilifika bandarini nikiwa ni msafiri kwenda Zanzibar. Bajeti ya nauli niliyokuwa nayo ni 25,000 kwenda na kurudu nauli hio hio. Sasa kufika pale...
  4. A

    Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

    Nimekupenda bila shuruti. Ramadhan Kareem
  5. A

    Maji ya bahari mbili kutokuchanganyika. Je, hii ni miujiza ya Allah au ni ukosefu wa elimu?

    Hata hio aya uliotumia haielezi kwa undani hayo maji ya bahar mbili, Surat Arrahman ndio yenye kueleza maji ya bahar mbili hayachanganyiki
  6. A

    Ushauri: Binti wa Kituruki analeta utani mwingi kazini hadi nimepewa onyo na meneja

    Dalili zote zinajionesha huyo Mturuki anataka nini, na umeshindwa kung'amua, sasa bora uache kazi au subiri meneja akufukuze kazi
  7. A

    Igunga, Tabora: Mtu mmoja auawa na mwingine kajeruhiwa na Fisi

    Picha za tukio zima. Fisi alieshambulia, mama aliyeuwawa, mwanaume aliyeshambuliwa.
  8. A

    Igunga, Tabora: Mtu mmoja auawa na mwingine kajeruhiwa na Fisi

    Picha za tukio zima. Fisi alieshambulia, mama aliyeuwawa, mwanaume aliyeshambuliwa.
  9. A

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Jamaa wakera sana aisee! Kwa siku lazima nipokee meseji mbili au tatu
  10. A

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    ILE HELA,ITUME KWENYE NAMBA HII: 0746485597, JINA LITAKUJA (MOHAMED DADI) MAANA ILE LAINI YANGU INA MATATIZO YA M-PESA.HIYO NDIO NAMBA YA WAKALA,FANYA HARAKA
  11. A

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    0764978896-USTADH YAHAYA BINGWA WA KUTAFSLI NDOTO NA NYOTA KUNA MAFTA/MAJI YA KUOSHA NUKS MIKOS KUFUNGUA KIPATO PETE YA MAAJAB MALI/MAGONJWA SUGU KINGA MAJIN MATIZO UZAZI KAZIN MASOMO BIASHARA MAHUSIANO NK/0659564440
  12. A

    Hawa ndio waandishi wetu..

    Mgosi umenifurahisha sana [emoji106][emoji23][emoji16]
  13. A

    Punguzeni jamani mtatumaliza si kwa mavazi hayo ya kutamanishana!

    Maji ndo menyewe sasa kama hujui.[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom