Recent content by Abcdefg

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    There is no significant difference between the statistics.. So no way to conclude kwamba mpo wachache.. This is statistical point of view.. Ambae hujui usicoment Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    Roma Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mabenki: Serikali na TRA kutoa siri za wateja hadharani kunaua mzunguko sababu watu wanakosa imani na benki

    Wapumbavu hamtaisha...unapoweka Fedha bank tayari wewe ni mwekezaji maana unaipa bank liquidity uhai wa kukopesha wawekezaji. Unafikiri kakobe asingeweka hizo pesa bank kingetokea nin....acha ufala wewe hujaenda shule shwain
  4. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Kupigwa hata mim ningekutangaza CNN but maswala ya financial pia sikutangazi naondoka kimya kimya utakaaje na MTU hana hela? Aise ni ngumu...mwanaume tafuta hela ndio sifa yako kubwa ukishindwa hilo kavae skert tuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

    Happy birthday my role model..love mingi to you
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kupinga Bahati Nasibu Tanzania

    Duu Leo umeread my mind...maana ningekuwa nikiwaza kuwafungulia mashtaka ya kuwaibia watanzania. Kwa nin kisiwe na time frame ya hiyo michezo..haiwezekani michezo ya kubahatisha ikachezwa mwaka mzima toka nimesikia tatu mzima sijui kitu gani ni zaidi ya miezi kadhaa...huu ni uhuni na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza uwezo wa kunusa.

    Ndugu nendo hospitali ...kuna uvimbe huwa unaweza kuwa kwenye ubongo wa mbele unaokandamiza nerves na usiweze kunusa itakuja tena huwezi kuona so wahi hospitali huwa wanafanya operation za kichwa unatolewa...na kuomba sana uwahi hospital
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    Mshauri kwanza yeye awe na staha...acha unafiki dogo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Mim sion cha ajabu hapo...cz kuna vitu vya ajabu zaidi ya hivyo insta na haviriportiwi
  10. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco hamna mwelekeo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    Ukishajua itakusaidiaje...jibu hoja
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    Lizarazu jina tuu lina ukakasi milioni saba haina thamani ya utu hata ungetoa milioni mia moja there is nothing you can give to buy or in exchange na mwanamke...that is just a gift to parents in respect of raising the women you wanted...so msijifanye mmetoa sijui mahari ndio ticket ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    Duu umetoa mahari ili ufuliwe shame!!! Fua mwenyewe au nunua machine mahari ni Zawadi ndogo sana na sio thamani ya utu wa mwanamke...acha undezi wewe
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    Mtoto wa kike akitoka shule anaanza majukumu ya nyumbani kufua kuosha vyombo kideki na hivyo kumkosesha muda wa kurudia aliyofundishwa shuleni...wa kiume akitoka anaenda kucheza defenetly lazima wakike aangaliwe kwa jicho la tatu. Alamu hatuwezi kuwa Sawa na wanaume...tumewazidi mno...kwa kila...
Back
Top Bottom