Recent content by abc2

  1. A

    JamiiForums Tanzania Finally Huawei E303 unlocked

    kuifanya isome port ndio pagumu nikifungua link http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html inafungua white-page tu alafu inadisconnect modem wakati wa ku-update modem haiwi detected
  2. A

    JamiiForums Tanzania clinical officers and medicine????

    vyuo vyote vinachukua clinical officers kwenda medicine tena tangu zamani, ndio maana kuna nacte na tcu.clinical officer ni diploma sasa kuna mtu amechangia ipo chini sana sijui ana maana gani! hata A.M.O anaingia medicine sawa na clinical officer kama akiamua kuendelea,kuna kozi za afya kama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania ada za udsm postgraduate na masters zapaa juu maradufu!

    Kwa waliopata admissions za hizo post ada imepanda zaidi ya nusu ya iliyokuwepo kwa sasa post graduate ni 4400000 kwa mwaka na masters ni 8000000! Kaazi kweli!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waliouawa Darfur: JK atoa tamko kali

    Big like
Back
Top Bottom