nawe fungua akaunti yako kaka ila uhakikishe pesa unayoweka inatokana na mapato yako halali tu.hayo mengine ni majungu na ujinga tuu,nenda kamshauri --------- aongeze kupiga ruzuku za fisiem huenda nanyi mkapata kamtaji ka kuwekeza nje ya tz.
kazi gani hiyo? ya kubeba pesa kwenye lumbesa na sandarusi? ya kuamrisha wakazi wa kigamboni wapige mbizi? ya kung'oa kucha,meno na macho yeyote anayeikosoa serikali au kudai haki? tambueni kuwa "maandiko yamekwishaandikwa ukutani kuwa ufalme wenu umepimwa nao umetimia"mungu kasikia kilio cha...
Kwa Muda Mrefu Sasa Ndg.Harrison Mwakyembe Amekuwa Akitoa Kauli Za Kujaribu Kuonyesha Kuwa Yeye Na Kamati Yake Wana Ushahidi Wa Kutosha Kuwa Kampuni Ya Richmond Inahusika Na Lowassa Moja Kwa Moja Na Kwamba Atakwenda Mahakamani Kufungua Mashtaka.
Sisi Watanzania Tungependa Sana Jambo Hili...
kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa watanzania walipoteza maisha kwaajili ya dr slaa au kukipigania chama?hii propaganda haitawasaidieni kabisa na matokeo yatakuja kinyume chake, inashangaza sana kuona masisiem yamegeuka ghafla na kuanza kumlilia mtu waliyemdhihaki.
acha uzuzu ndugu, ukimsikia dr slaa mwenyewe utaongeza nini?leo dr slaa amekuwa lulu ee? kwa taarifa yako chadema ilishaondoka kwenye levo ya kutegemea mwanasiasa mmoja mmoja ndio maana hata kigoma mjini cdm inaongoza mitaa mingi kuliko act ambao ni kwao.
kwanza we ndugu umekuwa cdm tangu lini?unashangaza sana na porojo zako hapa kutaka kutuaminisha kuwa chama ni mtu mmoja,kama dr slaa hakubaliani na uamuzi wa wengi basi ntaungana na wanaosema kuwa kashikiwa akili.kamati kuu ina wajumbe wangapi?je wangapi waliafiki na wangapi walipinga?ondoa...
Inamnyanyua Kivipi? Hivi Ndg Yangu Pamoja Na Ushabiki Wako Kweli Umeamua Kujifanya Kipofu? Nchi Nzima Inajua Ukweli Kuhusu Shukrani Ya Punda Ya Zito Kwa Mheshimiwa Mbowe Na Malipo Ni Hapahapa Duniani Kaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.