Recent content by abbas mwaki

  1. A

    Nimeanza kujifunza uchawi!!!

    Hakuna dini inayo ruhusu uchawi wala kufundisha uchawi kama ipo basi si ya mungu huyu wa vitu vyote duniani.
  2. A

    Wizara ya afya tuwe tayari kwa kuyapokea majina yetu

    Wape ukweli wao kwa maana wamezoea kuleta matusi na maneno mengine machafu wakizani wote ni watoto kama wao.
  3. A

    Wizara ya afya tuwe tayari kwa kuyapokea majina yetu

    Ama kweli watu wamechoka sana lakini umuhimu ni subra sana kwa wizara
  4. A

    Sisi Watanzania ni wanafiki sana

    kwani sheikh ponda si mtanzania? na kama simtanzania basi arudi kwao.
  5. A

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    pole sheikh ponda mungu atakujalia.
  6. A

    Mgomo wa Simu Utafeli...

    Tusikubali uchochezi watanzania wenzangu kwamaana taifa letu lina potezwa na watu wachache wanaotaka madaraka kwa manufaa yao binafsi.
Back
Top Bottom