Recent content by abbas-hassan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Final Decision: Nakimbia ndoa. Naogopa kuua

    Sawa nimewaelewa. Thanks kwa more ushauri.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Final Decision: Nakimbia ndoa. Naogopa kuua

    Asanteni sana wadau. Sasa hivi. ...nitamchukua nitaenda nae lunch. ...hotel flani hivi....kupo kimya sana. Nimemuomba nikafanye nae maongezi ili kesho niondoke. Kakubali.........let love lead. To God be the Groly!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Final Decision: Nakimbia ndoa. Naogopa kuua

    Asanteni sana..(tears)
  4. A

    JamiiForums Tanzania Final Decision: Nakimbia ndoa. Naogopa kuua

    Nimekaa na mwanamke huyu zaidi ya miaka 6 kwa ugomvi na makelele. Hakuna maelewano yeyote. Hakuna furaha. Nikitaka kwenda kufanya jambo la maana hunipa stress mpka nashindwa kufanikisha jambo hilo. Nikishindwa sehemu yeye ndio anafurahi. Hakua na ushauri mzuri kwangu. Alikua ni mtu wa kunipa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Final Decision: Nakimbia ndoa. Naogopa kuua

    Ndugu wanajf. Nashukuru kwa michango yenu ya ushauri juu ya swala langu kwenye uzi wa "Nakimbia ndoa-Naogopa kuua". Nawashukuru sana na heshimu sana mawazo yenu. Kwakua huyu mwanamke amekua sio mstaarabu na katili kiasi hicho nimeamua kufanya yafuatayo lakini kwa uchungu sana kwani ni uamuzi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kipindi kigumu sana hiki
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kuhusu wazazi nimeshawaambia. Wote wanajua. Na wakati naanza kumsomesha ilikua akiwa A level mpaka chuo. Na alivyoanza kazi...nikachukua vitu vyangu vyote vya ndani nikampa akaanzie maisha. Mi nikaanza upya na baadae nikajumlisha na vya awali ili tuwe wote karibu na familia. Hapo ndipo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Asante kwa ushauri
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Wadau nawaelewa sana. Ujue mpaka sasa akili imestack....sijui pa kwenda....sijui cha kufanya. Na roho ya mauti inaniwinda sana....bora nife...nyingine nenda hata Lindi ukaanze upya. Mara. ..we vumilia tu kidogo umuone ujinga wake.....kila jaribu lina mlango wake....kwamba soon nitapata ahuheni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Wadau nashukuru sana kwa michango yenu. Nimepata faraja sana. Nawashukuru sana wapendwa. Kingine nikwamba,..jambo likitokea hua mstari wa mbele kuwapigia simu wazazi....na kuweka chumvi nyingi sana. Hatimaye wazazi huniona mimi mbaya sana.....na kuanza kunishambulia....Hasa Mama yangu. Hii...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Wana jf....mi nimeoa na nina watoto wa3. Huyu binti nilimtoa kwao nikawaahidi wazazi wake kua nitamsomesha mpaka elimu yeyote. Nikafanya hivyo mpaka sasa yupo na kazi. Ila kwa bahati mbaya mimi karibu mwaka sasa sina kazi ila pesa za kula hazinikosi. Huyu binti wakati naenda kumtambulisha...
Back
Top Bottom