Recent content by Abbas Boniphace

  1. A

    Kupiga kelele wakati wa Tendo la ndoa(swali kwa wanawake)

    duuuh! Mm mwenzenu nishaishi uswazi mboona haya niyakawaida ila kama hujaoa itakubidi uoe kabisaa maana inakupa vishawishi kibao na pia kama huwezi kujizuia unaweza piga hata puli ili hali iwe nzuri tyuu mmmh! Wakubwa wanafaidiiii!!!.
  2. A

    Salamu za Rambirambi kwa NCCR MAGEUZI Na familia ya Dr Mvungi

    poleni mwana its hurting so much ila ndo ivo ni mipango ya mungu na kazi yake mola haina makosa!.
  3. A

    Kwa nini Mlima Kilimanjaro uko Tanzania na si Kenya?

    Mm mwenyewe nashangaa coz ni suala ambalo limekwa kwenye media na sijajua mantiki ya uwekaji wa hili suala au ndo kama ulivyosema kuwa kuna jambo linajadiliwa ama kuna ishu za kichochezi ambazo zinataka kuibuliwa kuhusiana na huu mlima!.
  4. A

    Uhusiano wa size ya korodani na ngono!

    Yaani ni majanga tu tafti zingine bhana ila ndo hivyo maisha yanasonga mbele!.
  5. A

    Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...

    Mmh! Inaonekana hapa tanzania kuna kiwanda cha siri kinachotengeneza hiz dawa ilaaa kanchi ketu kamepata umaarf kwa hizi dawa kupita hata vivutio vingine!!!.
  6. A

    Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    Hhahahahahahhahah inashangaza sana bhana kwani hawa tfda walikuwa wapi kupiga stop hata kabla ya watu kuanza kutumia coz mpaka kitu kuja kutoka magazetin ni tayari watu walishaanza kutumia so sijapata jibu hapo coz watu kibao kama ni kuugua ndo hivyoo washaugua!.
Back
Top Bottom