Nashukuru saana, kwakweli umejibu kitaalam saana, nimekuelewa saana. Shukrani. Inaonekana una utaalamu na kilimo au madawa, kama hutojali naomba namba zako. Zanhgu ni 0762126168
Asante saana, kweli kuku wa Sasso kwa mayai sio ila kwa nyama wako safi sana. Mimi changamoto ninayokutana nayo kwa kuku hao kwa upande wangu wanaugua saana flue, macho na kuna wakati wanakua walegevu miguuni. nimepambana nao sana ila sijapata utatuzi wa kudumu.
Yaani nilitamani saana kuona huyu mtu akijibu maswali anayo ulizwa, ila kama kuna mtu hapa mwenye ujuzi na masuala ya ngombe wa maziwa, anaweza tusaidia uzoefu na jinsi ya kuwapata hao ng'ombe.
Kwakweli umekua na nia isiyo nzuri. Mimi ni mzazi katika shule hiyo na shule hiyo ni moja ya shule bora zaidi kwa hapa Arusha. Uongozi wa shule pamoja na walimu waliwasilia na sisi wazazi/walezi wote kupitia magroup ya wazazi na meseji private kwa kila mzazi kumjuza juu ya deni lake na...
Yeh, Ziwa Dulute nalifahamu vuzuri sana, ni moja ya maeneo ambayo huwa tunatumia kwa kuwa na muda na malafiki zetu na kukaa maana mandhari yake ni nzuri sana, hakuna mtu unaoingiza maji wala kutoa maji, na pia ziwa Dulute sio salama kwa kuogelea maana kina chake hakijulikani, kuna security...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.