Kwanza hakikisha kwamba huweki mazingira ya kumfunga kwamba ni lazima akupe lift Asubuhi, uwe unajiongeza baadhi ya siku kuwahi kuondoka kabla muda wake. Yaani aone hata siku asipokupa lift asiwe na mawazo kwamba amekukosea. Hiyo itakuwa zaidi ya shukururani, maana atakuwa huru nawe na chombo yake.
Changamoto ni ujinga wa Dini, sio makabila. Makabila hayashindwi kuridhiana, ila ujinga wa Wana Dini. Kuna wapuuzi wanataka waone Uzungu ndani ya vazi na wengine waone uarabu kwa vile tu ndio mabwana wa Imani zao
Maisha yake mafupi sana Jangwani. Kocha hajui hata wachezaji wenye msaada mkubwa kwenye timu, Yeye akijisikia anaita yeyote tu nje na anaingiza yeyote anayemtaka. Kana kwamba huwa hasomi mchezo. Hajawahi kupatia Sub yoyote, Kila akifanya Sub tunaelemewa.
Huyu ataondoka mapema sana, tena...
Anachomaanisha labda ni kwamba Yule jamaa hakuwa Shabiki, ila staff member wa Yanga. Ni kwamba hata Mimi naweza hoji labda, ikitokea member wa benchi la ufundi la Yanga amempiga Kocha wa upinzani, Je, Adhabu inaweza kuwa ni kwa mashabiki ambao hawakuhusika na shambulizi?
Kocha ana Sub za ajabu sana, ana bahati, ila safari yake ilikuwa inaisha Leo. Yaani utoe Key players wawili kwa mara moja badala ya kujaribu partnership mpya kwa kumtoa mmoja tu!!
Ajitafakari!
Angekuwa hana kitete Cha miguu, angekuwa mchezaji mkubwa sana Bongo, ndio vile ni Ngumu kuwa na vyote. Ila ukitaka kuona umuhimu wake aingie wakati timu imeshazidiwa.
Namna ya alivyoweka vidole vyake, inaashiria namna fulani. Lakini pia Madai yake kujua Nyerere kuwa rais wa zamani halafu awe anashangaa kwamba sasa hivi Kuna rais ama laa. Ni heri angekuwa anafikiri kuwa Nyerere ni Rais mpaka sasa.
Sasa Kuna shida gani kutoa huduma hiyo kwa raia?
Hivi huoni kweli Fursa zinazoweza kuzaliwa kwenye makazi yaliyopangiliwa? Hujui kuwa hata Uzalishaji Mali unapungua penye mipango miji Duni wakati huo expenditure inakua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.