Napenda nitoe ushauri kwa muheshimiwa Zittopamoja na yote yaliyomkuta, nafahamu kati ya viongozi vijana wenye vichwa vuzuri sana kaika hii nchi huezi acha kumuongelea Zito, hayo yaliyomkuta na tuhuma anazo shtutumiwa kama ni kweli wewe unajua na Mungu wako kama si kweli basi sawa, ila...
Arusha kata ya Unga ltd mtaa wa Migungani, vijana wa bodaboda wamepewa 'viroba' kibao na vijana wamevalia sare za ccm, sasa vijana wameshindwa kufanya kazi yao ya bodaboda wamelewa, yani ni shida...
mh! kama 49 wana upungufu wa akili basi tumekwisha! mana tutakua na 'waropokaji' wengi kwenye hii nchi kushinda wajenga hoja! Nani ameturoga kwenye hii nchi! yani kila kitu siasa hakuna vitu 'real' hata!
Nimesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari mbalimbali kuwa kuna wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dar-es- salaam wameelani vikali kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA, shida yangu haipo kwenye wao kulaani hiyo kauli maana mimi sio mshabiki wa vyama vya siasa ila shida yangu iko kwa wasomi hawa wasioweza...
Page
1
of
4
BARUA YA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA) KWA
MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM, MHESHIMIWA SAMWEL J. SITTA,
KUHUSU UKIUKWAJI WA KANUNI ZA BUNGE MAALUM
Mheshimiwa Mwenyekiti,
Sisi ambao majina yetu yameorodheshwa hapa chini ni Wajumbe
wa Bunge Maalum ambao tunatokana na vyama vya...
Habari za asubuhi wadau!!?
Nimeusoma waraka wa Askofu Kakobe mara mbilimbili maana niliona ni waraka mzito mno niliopaswa kuuelewa vizuri! Kwa bahati mbaya watu wengi hawajui kwamba tunapozungumza habari za Mungu huwa tunazungumza ulumwengu usionekana yaani (ulimwengu wa roho) AMBAO NDIO...
Ni rahisi kumuona mtu mjinga au -------- kumbe ukawa hujausoma waraka kwa kina na kuuelewa kwa kina, matokeo yake wewe ndio ukawa mjinga au --------! Paulo aliyekuwa Sauli katika Biblia alisema ni ngumu mno kuyafahamu mambo ya Rohoni, kati ya watu ambao pia hawayajui mambo ya rohoni ni wewe...
wazo zuri! Ila all we are not sure kma wanatafakar kuhusiana na uliyoyasema na kwa viongoz waliopo CDM naamin ni watu wenye uwezo wa kutafakar na kuamua kwa usahihi
Wakuu kwanini yasiitishwe maandamano ya Kitaifa kupinga upandishwaji wa bei ya nishati hii muhimu sana kwa Watanzania?? Ukiangalia harakaharaka ila kwa umakini waziri hajali, waziri mkuu hajali, Rais ndo uuuuwiiii!!! pamba masikioni! nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.