Recent content by A man of God

  1. A

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Shigongo kulikoni

    leo nimesoma katika gazeti la Mizengwe ya Uchaguzi. lakini nilichoshangaa ni kwamba karibu gazeti zima linakosoa juhudi za UKAWA kutaka kuchukua nchi. mara nyingi limemkosoa Lowassa na Sumaye kwa kuhama CCM. Kwa mfano kichwa cha leo kinasema Edward Lowassa awaambia watanzania waache upumbavu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda!

    Ccm viva! Ukawa viva! Lowasa viva! Magufuli viva! Na mimi viva!!!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda!

    Ccm mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeereeee
  4. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    mimi nataka rais kama magufuli kama hajui kimombo. Hii inatokana na ukweli kwamba watazania wengi wanakidharau kiswahili chao na badala yake wanashadidia kiingereza utadhani wamezaliwa londoni. Uzalendo kwanza ni kutumia lugha ya kiswahili katika mambo mengi ikiwa ni pamoja na raisi kutokutumia...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere amchana Magufuli

    Kwanza walikosea hata kutengeneza acronomy yao. Viunganishi havitumiki. REJEA Mhadhara wa Prof. Mulokozi UDSM somo la Uchapishaji
  6. A

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere amchana Magufuli

    Chama cha Ujinga
  7. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli kumfilisi Lowassa

    Haya jaribuni tuone
  8. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM kuhusu matukio ya Tanga

    Manka mbona unapenda kuleta ugomvi kwenye jamvi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Tanga hiki hapa

    Mbuzi kasoro
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Wadoda ile mbaya

    Ccm oyeeeeeeeer. Cdm oyeeeed Chauma oyeee! Yote ktk yote LOWASAAAA ndo habar ya kila kona
  11. A

    JamiiForums Tanzania Asraji Mvungi wa ITV alikuwa anahujumu kampeni za uraisi za UKAWA, hongera wahusika kwa kumuondoa

    Hata mimi nilistuka siku za hivi karibuni. Eti kamera kwenye photo za magufuli inatoka vizuuuuuri lakini za Lowasa watu wazima wote wanaonekana kwa karibu. Nikajua ripota amekula fedha!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira ampigia kampeni Lowassa

    Nimeona ITV, mama Ana Nghwira anasema kuwa watu wasifanye makosa tena ya kuipigia kura CCM. Amedai kuwa kwa sasa wanapaswa kuangalia zaidi vyama vya upinzani kuliko kuipigia CCM kwani katibu wake mkuu amethibitisha wazi kuwa CCm imeoza. Katika kipindi hiki, ni vyama viwili tu vyenye nguvu CDM...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Watu wanavyovamia taaluma za watu

    Nasema kavamia taaluma za watu kwa sababu wana wa Israel hawakuangusha mlima wa Yeriko bali waliangusha Ukuta wa Yeriko!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Watu wanavyovamia taaluma za watu

    Kuna jamaa anaongea hapa ITV na anadai kuwa kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel kwa kuangusha mlima wa Babeli ndivyo chama tawala kinavyoangusha vyama vya upinzani. Anaitetea tume kuwa ni chombo cha haki. Alianza kumkemea Lowassa kwa ubaya wake! Lakini presenter kampa mfano kutoka kwenye Bible...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    Sawa bhana
Back
Top Bottom