Recent content by A M K TZ

  1. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Kitaalam kadiri mwanaume anavonenepa ndivo Hamu ya tendo la ndoa inavopungua! Nyie wanaume wanene mnadumu vipi kwene ndoa?

    Natafuta mtu wa kumuwekea cc kama wanavofanyiana Mahondav na Smart911
  2. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

    Watu wamezoea kuajiriwa na akili zao zimeelemez huko ila kazi za kujiajiri zipo nyingi tu
  3. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

    It should be 'FANYA KAZI ' sio 'TAFUTA KAZI '
  4. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi inanifaa nje ya kazi

    Aamiyn🙏 I like this, may God bless you 😊
  5. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi inanifaa nje ya kazi

    Habari za mida wakuu.. Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi.. Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato. Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays .. Hivi ni biashara gani...
  6. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

    Zingatia vitu hivi 🤔 O1. Push ups 50 to 100 everyday consistently.. O2. Hakikisha haipiti day hujala Tango, Ndizi na Chungwa.. at least two of them.. O3. Mlo uskose mboga mboga but si tembele wala kisamvu zingatia mchicha, skuma wiki, figili or mnavu.. O4. Kula nuts kiganja kimoja every single...
  7. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    Hapo wanawake kama nawaona🙂
Back
Top Bottom