Anaweza kuwa na point kubwa sema wengi wetu hatumchukulii kiumakini ila kidharau na sababu kuu ni maneno magumu anayotumia ila yanaweza kuwa na facts ndani yake, acha tusubiri muda utaongea, maana karibu na uchaguzi tutasikia mengi na kuona mengi tusiyoyafahamu na tunayo yafahamu
Hata Mimi nashangaa tuu ila ndivyo binadamu tulivyo, ukiwa nje ya uwanja unaona mengi ila ukipewa nafasi utakuwa WA kwanza kupigiwa mayowe ya kutaka utoke.Mwenyezi mungu ibarki Tanzania na watu wake.
waone bodi watakusaidia ndugu yangu but kizuri fuata utaratibu wa kumpata wakili then atakupa utaratibu wote wa rufaaa then all things will be ok.Hope u will do so and all the best.
Haaaaaahaaaaaa!!! sasa ndugu yangu mbona jibu unalo tayari.Lets make t perfect HAUPO KAZINI HIVYO BASI HATA HAYO MADAI HAYAKUHUSU lakini kwa maelezo na ufafanuzi zaidi mwone mkubwa wako wa kazi.Pole ndugu yangu kwa maswaiba yaliyokupata mola akusaidie na urudi kazini mapema iwezekanavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.