Mimi sioni athari yoyote kwa Hawa watu. Sawa anajiuza lkn si wanaenda faragha?.. vipi kuhusu Hawa video vixens wamewachukulia hatua gani na Hawa mataa wa kike??? Tutumieni nusara tusiwaonee wanyonge..mimi huyu mnaemwita dada poa sijawah kumwona kainamishwa barabarani ila Hawa wasanii wetu kila...
Hapo kwa jicho la haraka wenye D 2 nadhan mmeshamfahamu anaetusumbua waafrika ni mmarekani yani kila kukicha anatuletea magaidi kuhakikisha hatusimami kwenye njia yetu ila Kuna watu bado wanafanya uchawa kumsifia marekani ....tutumie mawazo yetu vizuri wakuu
#marekani_ni afui_wa_afrika
Hili swala magari ya viongozi kiukweli wanatuletea taabu kubwa barabarani, hebu chukulia mfano mpo zenu barabarani foleni halafu ghafla kiongozi anapita nyie mnaanza kuweka magari pembeni tena kwa uharaka chukulia huko pemveni mwa barabara Kuna boda boda wabaopenda kukaa ubavuni mwa Gari Kuna...
Uko sahihi kabisa, lakini hali hii inaweza kuwa imepelekewa na mambo ya viongozi wetu wanaokuwepo madarakani. Mfano mzuri tuu hivi unakumbuka awamu ya hayatti magufuli namna watu walijawa na hamu ya kufuatlia vyombo vya Habari kaka kutafuta Habari za nini setikali imefanya siku husika, serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.