mkuu bora umeileta hii thread make watu tumechaguliwa lakn hatujui utaratb unakaaje mwenye kufaham atujuze vp kuhusu mahitaj muhm na nlskia kuna mkopo sielewi unatolewa vp na kwa kpnd gan mfano siku,wiki,mwez au mwaka? na atujuze kuhusu maisha ya college kiujumla kuanzia makazi(hostels) na...
wadau kwa alye tazama taarfa ya habar ya saa mbil hebu tujiulize itv walimaanisha nini kuchora wagombea wawil wa ccm wakiwa kwenye chombo kimoja na bado wanaonyesheana vdole ishara ya kutukanana halaf hapohapo akawepo mgombea wa ukawa akiwa ameketi vzuri kwenye kiti na ameshika kalamu na daftar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.