Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

S/n: Jina kamili jinsi namba ya mtihani shule ya sekondari masomo riziki lukas gabriely m
s1244/0049 moyowosi ordinary diploma in secondary education (physics/
chemistry)
 
Mtajulishwa kupitia web ya UDOM bila shaka kwenye mwez wa 9 au 10 kwa sababu senate ya UDOM nayo inahitaji kukaa na kuyapitisha majina yenu licha ya NACTE kuyachagua/kuyapendekeza. Lakin si rahisi mtu kukatwa madamu jina lake lipo kwenye list hiyo juu. Vijana chondechonde msije na matranka yenu huku chuoni maana mwaka jana kaka zenu wametuabisha sana-walikuja na matranka na maboksi wameweka nguo zao na vitu vingine ; nilichofanya nikuwamlika kwa kamera yangu na kutupia huku JF.

haha kwanini Matranka hayahitajiki bro
 
S/n: Jina kamili jinsi namba ya mtihani shule ya sekondari masomo 1 javis elias m s4117/0060
mnyanjani ordinary diploma in secondary education (chemistry/ biology)
 
Wakuu naomba mniangalizie waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu kwenye hii shule S.623/
 
Zafri juma ntandu m s0924/0069
ikungi ordinary diploma in secondary education (chemistry/ mathematics)
 
post za ualim special diploma zimetoka tayari huu uzi kwa ajili ya kukutanisha wanafunzi mbalimbali walichaguliwa kujiunga udom tutajuzana tarehe ya kuripoti shule,vitu gani muende navyo ili kukidhi mahitaji yote,utakutana na wenyeji wa hapo chuo kubadilishana mawazo,wanafunzi tujuane pamoja na masomo uliyochaguliwa si vibaya ukitaja jina lako na masomo unayoenda kusoma
karibuni
 
kwan vitu gani vya muhim kuja navyo??

Any other human &academic nee need EXCEPT,matranka;vitu vya kupikia,kulalia;

USISAHAU BAISKELI(Kama hali inaruhusu)-.Course inakuwa handled in three colleges.Distances kati ya college 1 na nyingine ni kubwa so kuna kutembea sana.A town bicycle can serve
 
mkuu kuna limit ya sare au ni full modo!!! na vip kuhusu boom wanazozsema znatoka kiaje? na ni kias gan per month or per week
 
mkuu bora umeileta hii thread make watu tumechaguliwa lakn hatujui utaratb unakaaje mwenye kufaham atujuze vp kuhusu mahitaj muhm na nlskia kuna mkopo sielewi unatolewa vp na kwa kpnd gan mfano siku,wiki,mwez au mwaka? na atujuze kuhusu maisha ya college kiujumla kuanzia makazi(hostels) na chakula utaratib wa kupata chakula ukiwa chuon mfano utanunua chakula,utajipikia au ni kila mtu kula alikopeleka mboga? duuuh!!! ni shda kwel mwenye kujua atujuze na cc na vp kuna kuvaa sare au ni randomly!!!!!!
 
S/n: Jina kamili jinsi namba ya mtihani shule ya sekondari masomo riziki lukas gabriely m
s1244/0049 moyowosi ordinary diploma in secondary education (physics/
chemistry)[/QUOTE
mkuu naomba unichekie hyu magreth christopher chakulya,shule ya hombolo sec. namba ni s.964/0009
 
Back
Top Bottom