Recent content by _pjc_

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe

    Ni cross breed gani na bei ipoje
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Bei huko ipoje kiongozi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa kwa ajili ya chakula cha kuku/ mifugo

    Habari! Mimi ni kijana mjasiriamali wa kitanzania, ninajishughulisha na uuzaji wa dagaa kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku/mifugo, hivyo natafuta mteja/wateja wa dagaa hao. Dagaa hao wanapatikana kuanzia tani 1. Bei ni shilingi 3000/= kwa kilo 1, ambayo itajumuisha usafirishaji wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Clinical dentistry na Clinical Medicine

    Degree wanaenda ukiwa GPA ya 3 and above ila kwa upande wa MD competition ni kubwa ila kama kiuwezo upo vizuri private unapata
  5. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

  6. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Hii ya pili si ni maji kwa ajili ya kunywa? Kama ni hivyo basi ndo yenyewe
  7. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Vyote mkuu Kibiashara na Technical
  8. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Yeah tayari ila mikoani huku haijafika bado Labda kwa baadhi ya mikoa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Nahisi utakuwa umechanganya, kama ulishawahi kuona pale k/koo kuna sehemu wanauza maji sh 200
  10. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Nahisi utakuwa umechanganya, hii biashara ipo na inafanyika hata pale k/koo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Yes boss, je kuna mtu unaemfahamu mwenye taarifa juu ya hii biashara
  12. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Habarini wanajamvi, nilikuwa na wazo la biashara ya maji maarufu kama Water ATM lakini sina taarifa sahihi juu ya biashara hii, hivyo basi kwa yeyote mwenye taarifa yoyote juu ya biashara hii usisite kushare nasi, karibuni wanajukwaa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    IPHONE 7 PLAIN FULL BOXED & SEALED PRICES [emoji3541]32GB tsh; 370,000/= [emoji3541]128GB tsh; 420,000/= USED PHONES FROM UK 32GB - 320,000 tshs 128GB - 370,000 tshs Clean As New EXCHANGE ALLOWED MIKOANI TUNATUMA TUNAPATIKANA KARIAKOO UHURU [emoji3513]0744180322
  14. P

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

    Ukiweka itapendeza zaidi kwa manufaa ya jukwaa
  15. P

    JamiiForums Tanzania Advanced diploma vs Bachelor degree

    Nahisi umeona hapo juu guideline ya TCU
Back
Top Bottom