Recent content by _ly

  1. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Wew ndio young boy, na kwa akili hizi wanawake watafaidika sana kwenye hela zako. . Kumbuka mtoa mada amesema shida yake ilikuwa ni mahusiano na sio ngono. Kuna todauti kati ya mahusiano na ngono. . Wake up young boy
  2. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

    Nachoweza kukushauri ni kuwa; ndoa ya miaka 3 bado ni ndoa changa. Changamoto za namna hii huwa zinaumiza sana lkn jipe mda huku ukiendelea kumfundisha atabadilika. Kumbuka kuwa wanawake wanachelewa sana kukua kiakili so mpe mda huku ukimuombea atabadilika
  3. _ly

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na hali ya kutisha ya akili (kama si mtu halisi) tangu nikiwa na umri wa miaka 8 hadi sasa

    Okoka, mpoke Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake naye atakufungua hicho kifungo ulichofungwa
  4. _ly

    JamiiForums Tanzania Kwanini maombi yako hayajibiwi

    Barikiwa sana Mtumishi
  5. _ly

    JamiiForums Tanzania Watafsiri na wabobezi wa ndoto naomba mniambie hii inamaanisha nini?

    Shida kuokoka hamtaki.. ndoto ya namna hii ni ngumu sana kuishughulikia kikamilifu kama hujaokoka kwa sababu kuna vitu utashindwa kuvielewa, yani kuna namna ukielezewa hapa itakuwa ni ngumu sana ww kuelewa sababu unakuwa huna uelewa wa kiMungu. Mpe Yesu kwanza maisha yako ili akusaidie kwenye...
  6. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una ushuhuda gani kuhusu suluhu la matatizo ya uzazi kupitia waganga wakiengeji

    Na pia utakapompata huyo sinduna usisau kutuletea mrejesho hapa
  7. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tabia zako za kutomjali mama junior bado zinaendelea!? Yani umetoka safari unawaza misele hadala ya kurudi nyumbani??[emoji1787][emoji1787]
  8. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

    Wezi bana...[emoji16][emoji16] Emu fanya hivi, tafuta mtu ambaye hajaoa alafu kuwa nae kwenye mahusianoa, baada ya hapo mpe uhuru mwambie akuchit akutaftie bi mdogo hapo ndio utajua kama unapenda mitaala au laa!!
  9. _ly

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Mkeo anaakili kukuzidi wew! Kihalisia iphone 12/13 ni kama google pixel 4xl (haswa kwa nyie mnaonunua bland tu na hamna matumizi maalimu) . Kwaiyo fanya kama alivyokwambia amekusaidia sana
  10. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

    Unapoza uzi.. . kama unashusha basi shusha kadri uwezavyo sio ep1 unasema utaendelea kesho matokeo yake uzi unakosa amasa
  11. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Huyu jamaa kamandika madin sana. Ni ngumu sana kwa ambaye bado hajaoa/kuolewa kuelewa alichoandika humu ila kwa walio ndani ya ndoa haswa wanaume lazima wakubali alichoandika jamaa.
  12. _ly

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

    Chadema sijuhi wanawazaga nini???[emoji848][emoji848] . Unawezaje kuingia kwenye uchaguzi kwa katiba hii yani unategemea nn hapo daah??[emoji28][emoji28]
  13. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

    Kiukwel mm nampongeza jamaa lkn pongezi zaid nampongeza huyo madam... . Kwa ulimwengu wa sasa wanawake wanapitia vishawishi sana ni rahisi kusema mke mwema ashawishiki lkn ulimwengu umebadilika mazee mambo ni mengi. . Kama unaweza kufany kitu na kikafanya mapenzi yenu yasonge mbele we fanya tu...
  14. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wana tabia hii?

    Na kwann wew tu usaidiwe na wanaume siku zote?? Itakuwa ww ndio unamatatizo na unakaa kwa kujirahisisha...
  15. _ly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Bora wewe ulikopesha mm nilipewa nimfanyie kazi tena bila hata advance, nikaipiga ile kazi nikamaliza na siku ya kumkabidhi nilikodi hadi boda boda kumpelekea. kufika pale akaniambia hela atanipa baada ya siku mbili mbele.. hizo siku mbili ni miez kadha sasa kila nikipiga sim anasema badae...
Back
Top Bottom