Recent content by 99boy

  1. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Muamala ukanifanya niaze kuamini mkuu ila ngoja nitulie tuu, kumbe maisha sio rahisi ivo
  2. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Shukran mkuu kwa maelezo hayo
  3. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Ngoja nitulie 20k yao waliyo nipa inanitosha
  4. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Hapana siezi puuzia
  5. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Asante sana kwa ushauri wakuu
  6. 9

    JamiiForums Tanzania Kulipwa kwa kuangalia video YouTube

    Habarini wakuu, ninaswali kidogo juu ya hii biashara ya kulipwa kwa kuangalia video youtube. Juzi nilitafutwa na namba whatsApp yenye country code ya marekani na akaniambia kuuhusu kuingiza ela kwa kuview videos youtube, akanitumia link nika view then wakaniuliza namba ya aacount nikatuma...
  7. 9

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye hili

    Sawa mkuu, Asante Kwa Ushauri.
  8. 9

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye hili

    Sawa boss.
  9. 9

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye hili

    Habari za wakati huu wakuu, naomba kuuliza Kwa mwenye ufahamu na Swalla hili. Juzi kati nilikutana na link mtandaoni wanauza simu, computer pamoja na bidhaa nyingine za kieletroniki, nikajaribu kupitia pitia ile link ikanidirect WhatsApp na nikawauliza kama ninaweza kupata simu aina ya iphone...
  10. 9

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo wa namna ya kuishi na wakazi wa Arusha

    Hivi mtu unaanzaje kuogopa watanzania wenzako tena mkiwa ndani ya Tanzania moja hii hii.ila wewe labda unamaatatizo yako tu mwenyewe sio kusema watu wa Arusha sijui Wana nini, hayo mambo ya ukorofi na ubabe wa ajabu yalikua zamani chuga ipo cool sana sahivi sioni unacho hofia. Labda tu uwe hauko...
Back
Top Bottom