Recent content by 89N

  1. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Ahsante mkuu nimekupata vizuri Sana,
  2. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Hiyo ni undergraduate na masters ni 4.4
  3. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Kama huwezi acha kamsaidie mdogo ako aliesoma na anajua kujieleza, ahsante
  4. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Kuwa na heshima basi mzee, tuheshimiane na wewe. Thread nyingine zikupite kama huna cha ku-comment.
  5. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  6. 89N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nahitaji mtu wa kubadilishana kituo Cha kaz she singida niende morogoro, ualimu sekondari
  7. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Niko mwl sec, naenda maendeleo ya jamiii, Ila nmeelekezwa kutuma barua tamisemi,
  8. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  9. 89N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nko singda nahtaji kuhamia moro au pwan au dar kwa yyte Alie tayari pls, mwalimu secondary
  10. 89N

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Naombeni mamba za TCU ya simu jaman
  11. 89N

    JamiiForums Tanzania Multiple selection second round

    Jina lipo ndo nmeliona huko mkuu sema nafany kuwapgia chuo husks hawapokei cm
Back
Top Bottom