Mkuu swala la demokrasia halimfung mtu kukaa Cham kimoj pale anapo ona hakipo saw anaruhusiwa kuham na kuwek hadharan sabab za Kwanin. Nadhan uelew wak wa nadharia ya demokrasia haujapat mawand mapan. Hata hao ulio wataj kam sio matumb Yao wasing kimbia huk lakin kwa vile ni demokrasia wana haki...
Hiyo yote ni mipang ya CCM na hao vijan wameandaliw na CCM na wengin nipo ap Iringa CCM wanapang mpang eti wawahonge vijan wabeb mabang yasemay wanahamia ACT duuu kazi mnayo
Nisahihi mkuu kama umeshindwa kutatua kero za wananchi kaa pemben uwapishe na wengine ukijifunza kwa mfano sio mbaya utarudi tena......all in all sote tuna nia yakuiboresha nyumba moja na hakun mwenye hatimilik ya hili taifa tuelewe
Nadhan imefik mahali tuee makin san najiuliza ivi ni kwanin siku ya kuvunja bunge mwak huu na mkuu wa kaya akifungua hotuba kwa kutambua mchang wao mkubwa kwa taifa hili, aliwataj marais wote wastaafu na mawazir wakuu wote lakin alipotajwa lowasa bunge lilizizim kwa furaha isiyo kifani akiungwa...
Nawapongeza waislam wenzetu kwakifanikisha hilo kwa aman na utulivu, na tutashirikian nanyi kuyafany yale yote yaliyo mema kwa mola wetu. Hongera Mufti mteule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.