Recent content by 86lnd

  1. 8

    JamiiForums Tanzania Course ya kusoma kwa aliyepata three ya 14 CBG

    Habari wadau! Kuna ndugu yangu amepata division three ya 14 combination ya CBG. Matokeo Yake ni kama ifuatavyo. GEOGRAPHY-D CHEMISTRY- E .BIOLOGY- E. GS- S. Naomba tumsaidie kumshauri asomee course gani chuo kulingana na matokeo aliyopata Post sent using JamiiForums mobile app
  2. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  3. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    New joining instruction ya kilwa secondary hii hapa Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  4. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nashukuru hatimaye nimeipata fomu ya kikaro sekondary
  5. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Habari wadau! Kuna ndugu yangu amechaguliwa kidato cha tano kikaro secondary ila mpaka sasa hatujafanikiwa kupata joining instruction hivyo kama kuna MTU ana mawasiliano ya aina yeyote na hii shule Basi atusaidie
  6. 8

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha combination kutoka Art kwenda sayansi

    CCD kwa CBG ni ngumu sana kupata nafasi kwa government maana haja- balance combination, ufaulu wa combintion hiyo kwa Mwaka jana ni mkubwa sana. Wengi wao wamechukuliwa kwa ABB, BBB, BCC, na wachache sana wameanda CCC. Hivyo inabidi aongee kwanza na mkuu wa shule ili kujua msimamo wa shule ukoje.
  7. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Kuna shule ambazo zinafanya marekebisho ya joining instruction kama vile mtwara girls, mahiwa na kilwa secondary. Hivyo wanafunzi wafanye subra
  8. 8

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Joining instruction ya Mtwara girls inafanyiwa marekebisho itatoka baada ya wiki moja. Hivyo wanafunzi wasichukue ile ya zamani ambayo IPO online.. Wasubiri Mpya inaandaliwa.
  9. 8

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    ZBC 2 imenunuliwa na bakharesa. Ipo chini ya Azam.
  10. 8

    JamiiForums Tanzania Msaada hichi ni nini? Pumbu linawasha

    Hiyo ni fangasi. Pumbu erosion. Nenda duka la madawa au hospitali watakupa Dawa
  11. 8

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
  12. 8

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Nipo Lindi hospitali ya Sokoine . bado hali si nzuri
  13. 8

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu tangu amezaliwa hafumbui macho wala hatikisiki

    Nimepewa federal ya hospitali ya Sokoine Lindi. Nimeambiwa kuna specialist Wa watoto
Back
Top Bottom