Safi sana,hata hawa wengine wanaoteka watu na kuwaua katika awamu hii nao watatafutwa na kushitakiwa na kuhukumiwa.
Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga,ni suala la muda tu haki ya Watanzania walioumizwa na kudhulumiwa haki yao ya kuishi itapatikana, iwe ni kwa jasho au kwa damu, lazima watu...