ukiwa na F ya math coz za engineering ni ngum sana ww kupat hat kama ukipata basi jua huko mbelen ukimaliza diploma watakuambia ulikua huna vigezo vya kusom engineering
hapo cha kufany ni kusoma masom ya biashara t hakun kitu kingine
ukiend kinyume na hicho nachokisema itakuletea shida sana mbelen
mkopo kwa ajili ya watu wa diploma ni kwa ajili ya watu wanaosoma ngazi ya diploma sio waliotoka diploma.alietoka diploma wanaku consider as equivalent sawa na mtu wa form six.so mkopo wako upo ndan ya zile bil731 na sio 48bil za wat wa diploma
utaratibu wa kuangalia selelction si walishautoa mda mrefu sana kwamb ukitaka kuangalia kama umekua admitted udsm u log in kweny account yako.sasa mbona kisiran sana jamaa ang.kila chuo na utaratibu wake.kila siku mada hua zinaanzishw tu mara sijui chuo fulan VS udsm.shida hua nin ndug zang
fanyeni ku rename wazee ionekane kama hi yangu.mwishon kabisa iwe .pdf ili ifunguke vzur
kam m ni rename baada ya kuona haifunguk nikaamua kui rename .pdf then ikafunguka
aaah nimekuelewa shida nini.yan pale kweny admission letter.imeandikwa .pdf.html
sasa cha kufanya we i rename badala ya kua .pdf.html
wewe name .pdf ndo itafunguka wazee kwel kabis
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.