Recent content by 77billion

  1. 77billion

    Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

    Hahaha ilibidi nikimbie tu na kukata mawasiliano baada ya kutoka pale.
  2. 77billion

    Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

    hiyo ni kulingana na kipato chetu. ila wakat we kichwa kinanyonyoka yupo mtu ananunua Bati za mpka 50+ million
  3. 77billion

    Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

    hilo lipo wazi. Umesema kwel kabisa. Ila huwez kuchukua Bati ya Kiwanda X alaf ukalinganisha ubora na Bati ya Sunshare. Ndo maan KIWANDA kinatoa WARRANTY ya miaka 15.
  4. 77billion

    Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

    Upana wa 87cm Gauge 28 ni 16,312 kwa mita 1 Gauge 30 ni 13,782 kwa mita 1 __________________________________________ Upana wa 107cm Bati ya Kawaida ni 19,540 kwa mita 1 Yenye Chengachenga ni 21,594 kwa mita 1 (Rough Surface) Yenye Mng'ao zaid ni 23,954 kwa mita moja (Bright surface)...
  5. 77billion

    Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

    Mwanza Branch - 0628 678678/ 0625 777999 Wasiliana nao watakuongoza
  6. 77billion

    Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

    Price List ya 15th/October-2021. Sasa sio rahis kuaziandika hzo Bei zote hapa Ndo maan nasema mtu aseme anataka Bei ya Bati gan, iwe ya kawaida, ya chengachenga, ya mg'ao na katika gauge ipi 28 au 30. Ili iwe rahis kumjibu Bundle ya Bati zenye Gauge 28. Linakuwa na 12 pc Bundle ya Bati zenye...
  7. 77billion

    Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

    ukisoma vizur nimesema kuna aina tatu za migongo mipana. Unataka Upana upi katika Gauge ipi?
  8. 77billion

    Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

    Gauge 28 Bati zinakuwa 12 Gauge 30 Bati zinakuwa 16
  9. 77billion

    Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

    Upana wa 90cm Gauge 28 ni 48,936 Gauge 30 ni 41,346 Upana wa 86cm Gauge 28 ni 48,249 Gauge 30 ni 37,335
Back
Top Bottom