Natoa madini mnakaza shingo, Kama unahisi ulishinda haya sawa? Ungefiwa na ndugu zako ungenielewa ila kwa kuwa ukoo wenu wote waoga ndo maana mpo salama.
Haya sawa, Keyboard warrior nawaelewa vyema kwanza unakuta wakati huo ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda hutaki shida na mtu, Ungekuwa front wewe si ungekuwa kwenye kesi ya uhaini mbona uko gheto sahivi mguu juu na mkono ndani ya boksa uanajisabahi ngogwe
Mkuu kama yalifaulu mbona yanapangwa mengine? Unajua maana ya maandamano kwanza?
Me nimetoa somo kama yakienenda kwa uzembe uleule nakuambia tunarudia kuzika.
Mdomo mwingi, Mdomo wa mtandaoni ulifanya wasiotaka hiyo kitu wajiandae vyema, Huku ninyi mmebweteka na kuongozwa na hasira ya visasi.
Ukosefu wa mbinu/Plans, mtu hajui aanzie wapi akamalizie wapi jambo ambalo linaondoa uzito wa maana halisi ya maandamano.
Unafiki, Mtu saa moja kaenda kupiga...
HAKUNA MWANADAMU TIMAMU ASIE MUOGA, KILA MOVE LAZIMA IWE CALCULATED... SIO KOSA WALA UPUMBAVU TENA KWENYE NCHI TULIYOPO ISIYOTHAMINI UHAI WA MTU MMOJA LAZIMA UENENDE KWA KUJILINDA.... MTU AKIWA MUOGA HAIMAANISHI KUWA HAWEZI KUWA JASIRI NA PIA JASIRI ANAWEZA KUWA MUOGA VILEVILE.
NIONESHE...
Miaka michache nyuma tuliogopa sana kifo, Ni dhahiri kuna wenzangu na mimi ambao tulikuwa hatuna hata ujasiri wa kushuhudia maiti kwa macho.
Uongozi huu umefanikiwa kutubadili kwenye roho, Kutoka uzuri hadi ubaya, woga hadi ujasiri.
Nakiri kusema kwamba kufika hivi sasa tumekuwa majasiri sana...
Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu.
Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.