Recent content by 6321

  1. 6321

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Naomba namba boss
  2. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Me nimejaribu ya ndani ya masaa 48 sijatoboa
  3. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Me mwenyew nakukataza japo sikufahamu
  4. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kupanga hit & run kwa binti lakini ikawa hit & trapped?

    Hakuna msichana tomboy ni mazingira tu[emoji23][emoji23]
  5. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa Paula Kajala

    Unataka Kula mayai na kuku wake sio
  6. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Eka mbe
  7. 6321

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

    Nisingizie mimi ndio nilitumia simu yako kumjibu mchepuko wangu.
  8. 6321

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23] sema una mademu kibao
  9. 6321

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Uzi naupenda sana, japo kuwa haunihusu kwa sehemu kubwa. Hizi passion kwa jeshi ningekuwa nazo ningalikuwa mbali. Ukitafuta konection usiangalie cheo maana wanao sort majina na ku upload ni hawa wachini konstantebo na Coplo, ukisema utafute officers tu utachelewa. Kwenye kaz yoyote kigezo...
  10. 6321

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mwez wa 5 jwtz mafunzo yanaanza.
  11. 6321

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    nyingi san hiyo boss
  12. 6321

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23]
  13. 6321

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka huo nimempiga laki 9 tangu juzi hela sijatumiwa. Ni kampuni ya biko, Mwenye kufahamu ofisi zilipo anieekeze
  14. 6321

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kila la heri ndugu zangu, Mwenyez Mungu awatangulie. Mungu ndio kila kitu lakin Jitahid ushikwe mkono na mtu
Back
Top Bottom