Recent content by 4GPA

  1. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote Mtwara

    Karibuni wakuu
  2. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  3. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Nahitahi pikipiki ya hesabu au mkataba

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji pikipiki ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya pikipiki mimi niko tayari. Nipo LINDI Tajiri akiwa Lindi au Mtwara itakua bora zaidi MAWASILIANO 0714441827
  4. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    S0000-0000/mwaka
  5. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Lindi Municipal
  6. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Zipo wapi hizo kampuni?
  7. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Naam
  8. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  9. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi bei ya jumla

    Hakuna nazi za bei hzo kwa sasa usimchuze
  10. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nazi bei ya jumla

    Ongeza pesa mkuu maana kwa mtaji huo labda ukawe mchuuzi kwny hayo masoko then ukauze kitaa, ila kwa kufuata shamba sio kweli, mi nimewahi kufanya iyo kitu najua abc zake
  11. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Daaah unyama sana mkuu
  12. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo nausaka sana wa kitambo kuna dada kaimba sikumbuki jina ila kuna hiki kionjo
  13. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Sahihi kaka nichek humu 0674633302
  14. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Naendesha mkuu bila shaka
  15. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    amen.
Back
Top Bottom