Recent content by 45YY

  1. 4

    Hazina ndogo dar es salaam

    Habari za muda huu ,kwa yoyote anayejua ofisi ndogo ya hazina mkoa wa dar es salaam aniambie hipo maeneo gan
  2. 4

    NAHITAJI MUONGOZO WENU

    Ni kweli kwa sasa bodi hikitaka kuthibitisha taarifa wanaendea eneo jina lilipo yani kama nisehemu ya baba wanasoma jina la baba na wanaringanisha na fomu uliojaza
  3. 4

    NAHITAJI MUONGOZO WENU

    Duuh atakama taarifa za nida ,vyeti vya taaluma ndo hivyo pia hkn njia nyingine
  4. 4

    NAHITAJI MUONGOZO WENU

    Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo, na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo je kuna athari zozote kwenye bodi ya mikopo 2025 2026
  5. 4

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Mvumi ttcih ,kwa serikali ni chuo kimoja tu kilimanjaro college health and allied sciences
  6. 4

    Heslb 2025 2026

    NI VYETI GANI VINAKUBALIKA (BIRTH/DEATH CERTIFICATES) KATIKA KUOMBA MKOPO HESLB 2025? Conditions Nne kwa Cheti cha Kuzaliwa;- - Sehemu ya Entry Numbers iwe na Tarakimu tupu bila alama yoyote ile. - Sehemu ya Child's Name iwe na Majina Matatu kwa kirefu, na sio Jina Moja au Majina Mawili. -...
  7. 4

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote
  8. 4

    Msaada heslb

    Yani hakuna maneno yoyote bali ukiloign unarudi home page
  9. 4

    Msaada heslb

    Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
  10. 4

    Mkopo helsb niki log in narudi pale pale home page

    Kwenye maombi ya mkopo helsb niki login narudi pale pale home yani mfumo hufunguki kwa ajili ya kujaza taarifa nyingine
  11. 4

    NAPA SHIDA NI NINI

    Kisa nn tena
  12. 4

    NAPA SHIDA NI NINI

    Hii ni dalili ya kupunguza watu wa mikopo ya elimu ya juu na diploma kwa namna fulani hivi,haiwezekani unaleta mfumo watu wako uliowachagua hawajui kama mfumo ni mpya basi toa mafunzo mwaka mzima sio unatoa mafunzo juju halafu zoezi la kuapply mikopo ni miezi tu
  13. 4

    Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

    Piga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza moha Sio kila unachokiona ikifanye na sio kila unachokisikia ukifata AMAN YA MOYO NI BORA SANA KULIKO MANENO ELFU 1 YA MOTIVATORS
  14. 4

    Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

    Piga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza moja
Back
Top Bottom