Recent content by 44mg44

  1. 44mg44

    Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

    Hata Panadol na hedex nazo ni tatizo mkuu????
  2. 44mg44

    Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

    Kunywa maji mengi itegemee Hali ya hewa ya mazngra unayoishi!! Nakuomba unifafanulie nielewe mkuu
  3. 44mg44

    CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

    Hivi wanacheza jumamosi au jumapili???
  4. 44mg44

    Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Nipo pabaya mkuu
  5. 44mg44

    Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Usimuache bhana,hilo sio kosa la kuachana,endelea kumpa elimu tu Kuna muda atakuelewa.
  6. 44mg44

    Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Karibuni Kwa majibu wadau
  7. 44mg44

    Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Naulizia ili nipate namna ya kutathimini. Pia naulize je kwenye kundi hili Kuna timu inayocheza vizuri kuizidi Simba??
  8. 44mg44

    Time travel na Incarnation ni sawa?

    Maelezo yako yanakosa knowledge ya time and space
  9. 44mg44

    Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

    Kama mtaani kwako hakuna anaeshikilia nafasi ya uchizi basi nakuomba ichukue hiyo nafasi
  10. 44mg44

    SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Kwa mwanaume uzaz unaharibikaje mkuu ?? Kwa mwanamke nnavyojua ugonjwa hushambulia mirija ya fallopio na kuizba mpaka inashndwa kupitisha manii!! Nifafanulie Kwa mwanaume how uzaz unaweza haribiwa ??
  11. 44mg44

    Proxima centauri : Nyota ya karibu kabisa yenye eneo linaloweza kussport uhai

    Hiyo nyota ya Proxima centaur imezungukwa na Sayari moja tu ?? pia nisaidie Neno "Universe" Kwa Kiswahili tunaitaje ??
  12. 44mg44

    Njooni tuelimishane

    Uschoke mkuu,hapa wote tunapeana elimu tu
Back
Top Bottom