Mkuu, unajua hili taifa lina watu ni hasara tupu kabisa, yaani wamesomeshwa tena Burr acha as tunaotafutwa kulipa bumu walotupatia, lkn wao pamoja na faida hiyo wanaingiza taifa kwenye hasara tupu, kuna wengine wanajiita wasomi professors, masters and degree Holders ukikuta wanaongea na kutenda...