Recent content by 3Gy

  1. 3Gy

    Nimekuwa na mahusiano na mke wa marehemu rafiki yangu, je nimueleze mke wangu?

    Usilaumu sana, huwezi jua huyo mjane kamfanyia nini jamaa,
  2. 3Gy

    Is true 'first love is true love.?

    Et ni kwel kwamba ukipenda mara ya kwanza ndo upendo wa kwel.,na kama ikitokea mmeacha na yule uliyempenda mara ya kwanza ukampenda mwingine je huo una kuwa ni upendo wa kweli au ni maigizo tu.?
  3. 3Gy

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Wanajamii mimi nilikuwa nahitaji msaada mwenye detail kuhusu joining instruction kwa waliopangiwa huko huwa zinatoka mda gani?
  4. 3Gy

    Badoo inanivunjia uchumba wangu

    mwanawake hajawahi ridhiki hata humpe dunia.,ingawaje anaweza kuto kwambia.,
  5. 3Gy

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    Ki ukweli selection tayar ila bado tu kutangazwa rasmi.,
  6. 3Gy

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    Amejulia wap kama kesho..
  7. 3Gy

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    Kwel hajui hyoo..ndo maana anaongea t
  8. 3Gy

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    Tatizo post zinachelewa tumechoka kukaa nyumban maisha ya kitaa yanachoshaa hasa km umexoma tuition wee umechoka unapumzika t ila sasa na kukaa hm shida tuuu
  9. 3Gy

    Special Thread, COPA America 2015

    wana jf hv game ya leo ya copa america inaanza mda gan.?
  10. 3Gy

    Mapenzi na biashara: Wauzaji wa duka hili hawasikii au?

    majiran hawa tatizo hawafikiri mbali wana mawazo mafupi xana.,ndo maan bado hawapewi nafac xana..
  11. 3Gy

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    "To every action their is an equal and opposite reaction" jamaa alikuwa hafahamu ile ukiiba ujue kunakukamatwa,usipofanya kazi utakufa njaa.,usiposoma kwa bidii kufeli kunafuata.,ukifanya ngono ovyo mimba/ukimwi unafuata.,kuchepuka mwisho lazima uumbuke tu kwa sababu you are a cheater"
  12. 3Gy

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    Actually tukio linachekesha.,ila ni veryvery sensitive
  13. 3Gy

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    Kabix yaan.!!ila kupitia yeye tumejifunza aisee
Back
Top Bottom