maandamano ya amani afu unachoma miundo mbinu ambayo inasidia wengine kwa kigezo tukose wewe aah ujinga tusiupe nafasi
kila mchuma janga hula na wa kwao
jaribu la kupindua serikali ni uhaini na uhaini adhabu yake ni kifo
tulee watoto kwenye maadili na upendo hawa chadema na activists wote...
Usiweke bibilia huku hii islael unayoiongezela ni political state ilitoanzishwa 1849 kinachopiganiwa hapa ni nguvu ya ushawishi katika dunia kutokana na rasilimali zilizopo mashariki ya kati. wazungu ni wapuuzi sana wanataka waimiliki dunia
acheni Iran asimamie mitazamo yake na
Nuclear facility ziko deep undergroud marekani kapiga makombola surface kama jamaa wana mitambo hiyo marekani na islaeli wanayowatuhumu basi ngima bado sana
Thamani ya mwanamke ni bikra
kwanza kuna asilimia kubwa ya kuridhika na wewe sababu hana reference point bikra ni zawadi kwa mwanaume kutoka kwa mwanamke
bikra ina thamani kubwa sana Oa mwanamke bikra utapata Amani ya nafsi huyo atakua Mali yako wewe
turudi kwenye misingi ya zamani mwanaume aoe wanawake atakao. Ni rahisi kumudu wake wa tatu kuliko mmoja
maana itatengeneza wivu na heshima
wake watakua na wivu na pia wataheshimu mume wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.