Recent content by 2pad

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Mpaka walipo imbulia ndipo wakaibuka tumuibue na makamu wa Raisi naye tumsikie?

    Itabidi Raisi ukubali kua watanzania tumestukia mpango ovu uliotaka kutekelezeka achana nao tuachie bandari yetu, niwazi kua mkataba huo kila mtu anaona kua si mzuli hata wazili mkuu na mwanasheria mkuu waserikali walijitosa tu nakutetea kwasababu yalizuka maneno kua mbona hawaongei lolote...
  2. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kenya inavyotoa vipato vinono kwa walimu na watumishi ukilinganisha na Tanzania

    Hii inch ni mbovu yani mpaka watu tuingie sikumoja barabarani Chama cha CCM wanafaidika kupitia wananchi ambao wengi wanaelimu duni(wajinga) hata secta binafisi wameiga, yani unamlipa mwalimu 370000, kwa mwezi mzima, halafu utegemee kwamba atafundisha vizuli? Matokeo yake elimu yetu inashuka...
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mwanasiasa wa CHADEMA, Silvester Kasulumbai

    Wakuu wana JF, Tujuzane kwa anaefahamu alipo sasa mwanasiasa machachali wa CHADEMA Silvester Kasulumbai.
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Prof Assad angefaa kuwa Waziri wa Fedha wakati Dr Mwigullu PhD akienda Wizara mpya ya Mipango, ifanyike kama wakati wa Dr Possi!

    Nadhani tatizo ni mfumo yani hata Asaad anaweza badilika.
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    Sema Luhaga alikua sahihi kwa jambo gani?
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wananchi dhidi ya Serikali kuhusiana na suala ya bandari kuanza kusikilizwa Jumatatu 3th Julai 2023 Mahakama Kuu Mbeya

    Mawakili safi sana hapa palikua na rushwa kubwa hasa tenda inapopatikana bila kupitia talatibu za kitenda, yani kutangaza tenda.Na kujifanya eti tulikua tunauhitaji wa mwekezaji mwenye uwezo mkubwa na uzoefu ndo sanabu ya sisi kuwekewa mi shelia na kanuno za hovyo kwenye mkataba.
  7. 2

    JamiiForums Tanzania KAMA UFANISI MBOVU NI SABABU YA UBINAFSISHAJI BASI NAOMBA BUNGE LA TZ TUWAPE DP WORLD

    Sahihi kabisa mi naomba muhimili wa mahakama tuubinafsishe ili atakaechukua tenda aje nambinu nzuli za utoaji haki kwenye jamii maana rushed imejaa sana jambo linalosababisha kutokupatikana kwa haki, ilapia mwekezaji atusaidie kuondoa kero yakutumia muda mlefu kwa kesi mpaka kutoa hukumu.
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

    Nchi imeuzwa Raisi kujitokeza nakusema kwamba nchi haijauzwa inaonyesha ni jinsigani ameuza inchi bila kujua.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Nalionaga kama jingajinga, haya ndo majitu yanayotumia muchawi kushinda kula za maoni, he always talks meaningless things. Yani ujinga mtupu
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapeleka moto wa hoja huko mikoani. Je, WanaCCM wanauweza moto?

    Sasahivi mambo ni magumu ccm nadhani kwa moto waliopelekewa ccm wanatamani litokee tukio fulani ili watu wahame kwenye agenda.
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Ukiisoma Katiba ya CHADEMA hutaamini kama ndio hao wanaotoa Elimu ya Katiba mpya nchini!

    Tofautisha kati ya katiba ya chama na ya nchi ndugu.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Kama Mohamed Dewji tajiri mkubwa vile alitekwa, wewe ulikuwa na kinga gani kwa bwana yule?

    Na mo nimstaalabu tu maana hakusema kiasi cha mabilioni alichosaini kitoke kwenye account yake ndipo aliachiwa.
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa malori msinyanyase madereva wenu

    Tanzania ndio inchi pekee ambayo Madreva wananyanyasika kuliko inchi yoyote Africa Mashariki na kalibia inchi zote zilizopo kusini mwa jangwa la sahara hii inasababishwa kwakiasi kikubwa nakinachosemwa sababu kuu ni viongozi wakuu serikalini. Kua wanahisa wakuu wamacapouny ya magari sijafanya...
Back
Top Bottom