Upande mmoja ukubali kupoteza Muanze upya yaani majengo na mali za kanisa Si Yesu alivyo tuitia. Piga chini Maana shetani ka simama hapo.
Halafu tujipange kiumoja na kanuni za msingi wa Eagt upya ambao ni endelevu hii hajalishi utapoteza magorofa mangapi ya EAGT.Haya majengo na Mali hatutapaa...
Maslah yanamata katika kuleta ufanisi na ubora wa huduma au kazi Vijana ambao watu wanadai wapo wengi na wanalilia kazi hizo uzoefu Hawana wanaitaji wajifunze kwanza kwa wenye uzoefu,na hata wakiingia kazi ambazo wenzao wameshindwa kutona maslai/mazingira duni watafanya kwa mda tu huku...
Ninaa wazo la kutafuta gari hiyo nini Changamoto zake kwenye matumizi ya mafuta
Na nini kinasumbua mara kwa mara na gharama ya hiyo/hizo spea mwenye uzoefu plz.
Swala sio kupunguza kwa sababu hata hao wachini wanatakiwa waboreshewe kuwakuta taasis zingine. Mishahara viongozi waliweka hayo maboresho ikiwa ni pamoja na mishahara kila mwaka.
Kupunguza kutashusha morary za kazi za watumishi na kusabisha watu wasio na uzoefu kushika nafasi kutokana na...
Naona Shida hapo fedha, waweke tu kwenye mafuta tujue moja kuliko kutupotezea muda wa kujazana kwenye vituo vya polisi na mafoleni yasiyo na tija.
Tafsiri ya gari bovu nafikiri zinaeleweka huitaji hata kumuona inspector. Na sheria za kubana hilo zipo.
Au hako ka stika wauze bei ilio jumuisha...
Sifa ya kiwanja.
Kiwe residential Ramani ya wizara ambapo gps zake inaonyesha residential.AU KIMEPIMWA KINA OFFA ISIYO NA MGOGORO NA WANANCHI.
Kisiwe bondeni.
Ukubwa kuanzia sqm 800.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.