Recent content by 2morrow

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    mkuu jipange sana,nafikil we ni bonge la msanii,punguza uongo
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda na ustaadh Mukadam watoa tamko kali.(Ponda amsifia Zitto Kabwe)

    huyu ponda nilidhani kaonewa,ila anapenda sana sifa,alicho kiongea ni marudio yale yale ya kuchochea vijana wakiislamu kufanya fujo barabarani
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu kupita kiasi kwa polisi ndio utaratibu wa kazi yao.

    yani jeshi la polisi limepoteza nidhamu kabisa,wanaboa!
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Pengo: Uovu ushindanishwe na Wema!

    nimeipenda sana
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Kikomo cha uvumilivu kwa taifa hili kinakaribia

    sikusoma unazungumzia nini,naona kama unajichanganya tu.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Kutoka Olasiti - Arusha: Mazishi ya Marehemu wahanga wa Mlipuko na yaliyojiri

    nawasi wasi sana na uelewa wako na uchambuzi wa mambo
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Gari iliyomgonga trafiki yakamatwa

    tulieni na mtoe taarifa kamili sio kukurupuka tu.
  8. 2

    JamiiForums Tanzania January Makamba

    ni sawa anafaa,tatizo ni magamba.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Crazy world and Freedom fighter ( House of exile) dedication to Lwakatare

    tutapigana sana mpaka mwisho na nchi itakuwa huru tu.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

    hawa ndugu zetu sio walinzi ni wezi.
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Kibonde: mwanasiasa yeye, jaji yeye,spika yeye...msikilizeni

    sio kwamba anajua ni chizi.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Shibuda: CHADEMA imepoteza mvuto kanda ya ziwa, mbioni kuweka mambo hadharani

    shibuda ndio zako kukurupuka
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

    safi sana,furaha yao yageuka majonzi.
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Arusha kwatifuka; machinga wakinukisha

    hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania.
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Kadhi mkuu amkana Ponda

    ni sawa mkuu,lakini ukumbuke kuwa wakristu hawana chombo kinacho simamia madhehebu yote ndio mana hakuna kuingiliana,sasa bakwata ya nini nawakati madhehebu ya waislam ni mengi?hicho chombo kisimamie upande mmoja sio wote ni kuwanyima haki wengine.
Back
Top Bottom