Recent content by 2gezaWeCan

  1. 2

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    ww umeniongezea uchungu wa kuchagua mabadiliko. Yaani kumbe Kingunge kasema ukweli pumzi imewaishia, ubinifu hakuna tena. Mnaishia kuona kila kitu hakiwezekani. Nothing is possible if you are creative. Yaan hauna ubunifu na pumzi imekuishia. Pisheni akili mpya
  2. 2

    Makubaliano ya Viongozi wa UKAWA kifedha yameishia wapi?

    hicho kikaratasi tu wala si risiti. hakuna muhuri, tarehe wala jina au logo ya muuzaji. hata mm naweza kukiandaa Kwa word processor
  3. 2

    Kwanini mtu anakuwa masikini mpaka kufa?

    Duh! Kumbe hekima iko hivi?
  4. 2

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Kila mmoja aeleze atafanyaje kuhakikisha maoni yaliyopendekezwa na wananchi katika rasimu ya katiba ya jaji Warioba yanazingatiwa?
  5. 2

    Ni dhahiri jalada la kashfa ya Richmond litatinga mahakama kuu

    mm mwenyewe sikupiga kura ila trh 25 ntampa Lowassa
  6. 2

    Survey: Damage Assesment-Tuhesabu Madhara

    ushabiki wa siasa nimeacha ila as long as I know my enemy kura yangu itabaki UKAWA
  7. 2

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    mkuu niache akili ifanye kazi yake. yeye kasema kinyesi kiliwekwa kwenye sahani kikapekwa chumbani. hiyo choo na kinyesi chake na vinyeso vilivyobaki tutavifukia kabisa. najua chumba ni rahisi kusafishika kwa kuwa kipo katika sahani kazi
  8. 2

    Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

    ningeipata hiyo hela ningeitumia kuwashawish wengine wampe kura Mr. Lowassa
  9. 2

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    akili yako inaona ukanda na ukabila tu!Sijui kwa nn watu wa CCM mmekosa akili kiasi hiki? Jiulize kuhusu chama chenu Nani mwenyekiti, makamu Zanzibar, Karibu, manaibu wote 2, wenyeviti jumuiya ya wazazi,uvccm, uwt, wajumbe wa kamati kuu? mnatafuta huruma kwa udini na ukabila na ukanda ila sisi...
  10. 2

    Huu Ndio Uchaguzi CCM Hawana Uhakika Wa Kurudi Ikulu

    ya Kinana peke yake au kuna wawili umewasahau?
  11. 2

    Mdahalo wa amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi mkuu 2015

    wengine tuna SMU mkuu inakuwaje sasa?
  12. 2

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    na Devotha Ninja?
  13. 2

    LIVE Updates: Mkutano wa CHADEMA - Kimandolu Tindigani, Arusha

    nimeota Lowassa ameshinda kuwa raisi. Sasa naamka kufungua redio naona hawatangazi kumbe nilikuwa naota
  14. 2

    Prof. Lipumba arejea nchini

    muulize mzee Khamisi Mgeja
  15. 2

    Dr. Slaa hatimaye aibuka

    hajamkana huo ndo ukweli. inafika sehemu hata kana Dr tunampenda tunamweka pembeni kwa maslahi ya taifa na chama. Sasa tubaki kumbembeleza Dr kweli mapambano tutayaweza
Back
Top Bottom