Recent content by 2G2011

  1. 2

    CRDB Bank kuna nini kuhusu mikopo?

    Jamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
  2. 2

    Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Mimi nilijua simu yangu inashida. Magufuli Mungu anamuona
  3. 2

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Wapendwa wanajamiiforums mimi sina mawasiliano ya Twitter na instagram, Je ni watu wote wanatatizo hilo au ni mimi tu?
  4. 2

    Jinsi watu wanavyotongozana JF

    Thanks
  5. 2

    Mkurugenzi wa halimashauri apongezwa

    Mkurugenzi wa halimashauri apongezwa kwa kufanikisha kushinda udiwani.
  6. 2

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Kaka weekpedia wanaandika hata wajinga na kupesit kwa hiyo isikupe shida
  7. 2

    Kigumu chama chawala

    Ndugu yangu miaka 53 ya uhuru bado watoto wanasoma nje, halafu mtu anasema maisha bora kwa kila mtanzania.
  8. 2

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Hivi nyie mmelipwa kiasi gani na ccm washenzi wajinga tu. Hivi mnafikiri hili suala linahitaji hata elimu ili utambue kuwa kuna ufisadi? Mnapoteza muda tena kujiita wasomi.
  9. 2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mbeya forest mpya Chadema 192 ccm 88
  10. 2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Jamani usituweke roho juu wenzako please can you put figures?
  11. 2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Nafurahi sana kusikia ukawa wanashinda kwani bila upinzani tusingeyajua maovu hayo hata ccm isingetekeleza ahadi zake
Back
Top Bottom