Recent content by 2699s

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza baada ya kufungua kibanda umiza

    Njoo inbox mzee 0712043374 tupeane uzoefu
  2. 2

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ushampata huyo wa kuja pwani we uje karagwe au
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Kaka kwema naomba namba yako watsap 0712043374
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Sawa mkuu ila uku mikoani mafundi nao wanasumbua zinauzwa bei gani mkuu za carina
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Ikishajifia ndo gearbox nzima imekufa mkuu au ndo hapo nabidi nifanyeje
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Wazeee za asubuhi,gari imenisumbua tena haiendi mbele ila kurudi nyuma tu Jana tulitengeneza valve sile ilikuwa ndo inavujisha hydraulic na ile sauti iliisha kabisa sasa hivi asubuhi haiendi mbele
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Silenca iko nirmal oil haina wiki lita 5 lakn imesuka nayo
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Na hiyo sauti inayosikika je wakati wa kuweka d au l ?
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Hi kaka yako ulikuta tatizo lilikuwa nini Maana na mimi ninalo
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Hi ndg nisaidie ushauri nina carina yangu 7A inasumbua kupanda mlima inachemsha. Nakkukosa nguvu hasa kwenye mlima Pili hydraulic inaisha haraka yaan wiki 1 niliweka lita 4 leo iko low kabisa .nikiweka d kuondoka gear inachelewa kuingia na kutoka na kuna sauti inatoka kama mshutuko then...
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Lakini kama leo asubuhi imewaka ghafla ikazima tena nikawasha ikawaka livasi inakataa ikaenda mbele na kingine nimeona kama hydraulic imepungua japo nimeweka wiki 1 imepita lakini imeshuka sana
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
Back
Top Bottom