Recent content by 23407mgumia

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi kuondoa wizi wa katika simu na matusi

    Nadhani wananchi wenzangu mtakubaliana nami kuwa Laini za simu zinapatikana kirahisi mno na zinatangazwa kila kona kila siku, Lakini ikiwa tutahitaji kuondoa matapeli na wanaofanya matukio kwa kutumia simu, tuongeze gharama ya kununua line za simu iwe kama laki mbili kwa laini moja mpya ya...
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

    nina mteja, Asma Hussein Natosa, anapo click ombi la kazi kama hatua ya mwisho inaleta error kua this nin is already registered with another account, please contact support, ni kweli tunaomba ifutwe akaunt emmyrajabu16@gmail.com kwa sababu haifunguki, na ilishauri tufungue nyingine. NIMEPIGA...
  3. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    aaah maisha yote yanatawaliwa na kila kitu,kidogo au kikubwa kwako au kwa mwenzako au kwa wote, msaada mkubwa unaohitajiwa ni mawazo ya kushauriana, wengine wanajikuta jela katika mambo ya mapenzi, wengine wanajikuta ni wakimbizi suala ni hili hili na wengine suala jingine dogo au kubwa lakini...
  4. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    umezungumza kifupi sana, vizuri sana na nimeamini kila ulilosema, kiasi kikubwa ni hivyo, mara nyingine anaweza kukuchagulia nguo akakopa kwa niaba yako, kwake ni nzuri lakini wewe ukamhurumia kwa nini amechagua hii mbona ni ya kawaida tu, yeye ameipenda pengine amekununulia.
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwenye haya yanayomhusu Muammar Gaddafi

    Ni vizuri kuwa na mjadala wa aina hii, hayo yote ni kweli na yako zaidi ya hayo na ni kweli hata ufanye nini watu wenye nia mbaya wakikuhujumu wanaweza kukumaliza, ukiumwa ukahitaji kutibiwa nje ya nchi unalipiwa, ukisoma nje ya nchi unalipiwa, ukitaka kuoa ukipata mtoto anapozaliwa anaanzishiwa...
  6. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

    kweli
  7. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

    Uko vizuri sana lakini nimechelewa kuiona hii, solutions zako wewe mtqaalamu sana usiache kushauri ni swadakat jalia
  8. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

  9. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

    kuna dawa wanauza watu wa kilimo, tumia hizo huwa inaua bila kutoa harufu kabisa, naona hiyo itasaidia
  10. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    una akili zilizo tulia sana
  11. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuthibitisha kama mtu/mpenzi wako anakupenda kwa dhati

    ni nzuri sana tu, ni msaada mkubwa wa ki maisha, na wanasema ukitaka kusaidia jamii ziba masikio maana wengi ni vichaa ingawa wanavaa viatu vilivyopigwa rangi nzuuri, Nyerere angewasikiliza watu wote, asingepata uhuru, endelea kuelimisha jamii.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Fahamu faida na matumizi ya Tende

    Mungu akujaze kheri, kwa elimu ya juu ulotupa
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

    jenga urafiki na daktari wa kike ambae atakua anakuja nyumbani kwako na akuchunguze akihitaji uende hospitalini kwake afanye hivyo kirafiki
  14. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meseji nzuri za kumtumia mwenza wako: Onyo, usisome kama wewe ni under 18

    Mapenzi ni kitu real, hayajawahi kuwa ya kuigiza na hayatakuja kuwa yamekwisha, maana kila siku tunasikia fulani kajiua kwa ajili ya fulani, fulani hana raha kwa ajili ya fulani, kama mapenzi ni kuigiza hivi inakuaje mtu aigize kujiua, na wanaojiua ni wanawake kwa wanaume, ndio mapenzi ya mpesa ?
Back
Top Bottom