Recent content by 20fanaka

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

    Sisi sio wale wa 'KASOME AJIRA YAKO UTAIKUTA' au wa "hauna kijana mwenye cheti Cha uhasibu tumpe ajira' Kwa kifupi Sina conection zaidiya JF
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

    Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM, Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E, Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kufadhiliwa masomo ya chuo

    Baba watoto Yuko wapi (Kwa faida ya wasomaji)
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Forever Arsenal
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Hatuez kuwafanya chchte wakiwa huko, wangekuwa anga zetu za AU.... Adhabu yao ni kibaki huko, waugulie huko, wafie huko, na ndugu zao waende huko, wakawazike huko, nyang'au hawa
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Hao waliofunika nyuso zao wanaogopa nini??? Wengine wametambulika na ni kama wamejitangaza kuukana Utanzania, otherwise....!!%@&#€¥*
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali waliopandishwa vyeo 2015/16 sasa kusomeka kuwa wamepanda vyeo tarehe 01 Aprili 2018

    S Naweza kuona jinsi watumishi walivyopooza na kugeuka watumwa, Sad...
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Wale wa muundo mpya (mfano walimu kutoka E kwenda F ) bado kurekebishiwa, sjui km inaendana na maelezo ya barua ya November 1,2017 kuwa serikali itatoa maelekezo juu ya kundi hilo (sina hakika kama walitoa maelekezo yyte, wala vyama vya wafanyakazi sina hakika vimesema lolote hadi sasa)
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Kuna watu hawajalipwa mishahara ya daraja jipya tena?
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Sasa Sasa wewe utasababisha nyongeza ya mishahara iondolewe
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Mmh ndugu kwa serikkali hii mbona majibu ni mengi, lkn nadhani vyama vya wafanyakazi vimeongea na serikali japo vipo kimya saaanaa
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Kuhusu barua kusomeka 1,November 2017?
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Kuna tetesi kuwa wakurugenzi wameagizwa kuwaandikia barua watumishi waliopanda madaraja kwa tarehe ya 1.November,2017 na si April 2018 km ilivyoagizwa hapa juzi. Hope watalipa malimbikizo angalau ya hiyo miezi 5
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali!! Watumishi wote waliopanda madaraja 2015/2016 wamarekebishiwa mishahara:

    Rejea waraka wa Katibu Mkuu kuhusu watumishi waliositishiwa madaraja mwaka huo
Back
Top Bottom