Recent content by 2070

  1. 2070

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

    Passport ya Tanzania Kumiliki passport peke yake hakutoshi kumfanya mchezaji awe mzawa kwa mujibu wa kanuni za FIFA 2. Kanuni za FIFA Kuhusu Kubadilisha Shirikisho (Change of Association) Kwa mujibu wa FIFA Regulations on the Status and Transfer of Players, mchezaji anapaswa: Kupeleka maombi...
  2. 2070

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

    Umeelewa mada?
  3. 2070

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wataka Serikali ya Tanzania kumuachia Tundu Lissu. Wasema kushikiliwa kwake ni batili

    Hata kama ni kweli, hii haitaleta afya ktk sura ya uhuru wa mahakama. Tofauti na hapo waje na taarifa zilizowazi zisizo na shaka
  4. 2070

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya CHADEMA kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika

    Hawawezi ingilia mambo ya ndani kama tu huko Western Africa
  5. 2070

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

    https://www.jamiiforums.com/threads/jambazi-sugu-banjoo-larudi-uraiani.521726/ Mshana Jr Mto wa mbu MamaSamia2025
  6. 2070

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

    Safi ni hatua nzuri sababu wao ni wachawa wa EAC hivyo kulitakiwa kuwe na visa free kuingia kama ilivyo kwa nchi nyingine za ukanda huu na wa kusini
  7. 2070

    JamiiForums Tanzania Nauza Hisense nchi 43 smart UHD

    Unauza ipi kati ya hizo?
  8. 2070

    JamiiForums Tanzania Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

    Sababu zinafanya kazi na serikali zao bega kwa bega. Kama kuna apps zinaweza kusoma taarifa zako kutoka ktk hizo apps zingine unawezaje kuamini hiyo huduma ya privacy? Kama apps zinaweza, je software (OS) ya simu je? Mataifa yamejificha kwa watu wake ili kupata taarifa, unainuliwa na...
  9. 2070

    JamiiForums Tanzania Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

    Leo tukisema tunaweka sheria ili starlink aweke ofisi hapa nchini ya mtoa huduma ili watu wapate ajira nk.. raia wazo la kwanza ni serikali inataka kuminya huduma na wala hawafikirii kuwa kuna ujuzi, ajira nk vitapatikana. Tumekuwa watu wakusaidia mabwenyenye kuendelea kututumia kwa manufaa yao
  10. 2070

    JamiiForums Tanzania Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

    Uongo mtupu. Haya mkorokoro ni sehemu ya uharifu wa nchi za magharibi ndio maana mataifa mengi yanajilinda kama marekani yanavyojilinda na Tiktok. Wanajua yanasaidia nchi husika katika kukusanya taarifa muhimu, TV za kamapuni kama LG ziligundulika kutumika kukusanya taarifa. Mambo ni mengi mno...
  11. 2070

    JamiiForums Tanzania Voice identifier Apps: Ni program zinazotumika kutambua sauti halisi na mtoa sauti hata kama haonekani.

    Lawama ni msingi wa watanganyika
  12. 2070

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Vuta subra, mbona una haraka na haki wakati ndio inatafutwa mahakamani?
Back
Top Bottom