Mimi nashauri nchi iuzwe kila mtu agawiwe chake, watakaobaki bongo waish kama wapangaji wengine tukatafute maisha sehem nyingine hii Dunia mbona kubwa sana
Nahisi wamemficha ili kuzima agenda ya maandamano watu waanze kumjadili bibi yule!!! Kwan who is she mpk tuanze kumuulizia alipo??? Kikubwa tuendelee tu kujadili tunatokaje hapa kama taifa.she's too small to discuss her!!
Ni kweli kabisa hizi vurugu zote zilianza wakati wa jpm ila kuumbuka samia alikua msaidiz wa jpm na kikatiba yeye ni mshauri wa rais kwahyo yawezekana Yale aliyoyaasisi jpm maovu mshauri wake alikua ni samia!! Yote tisa kosa halifutwi Kwa kosa Jpm alikua na makosa yake na tuliyapinga hata samia...
Hivi elimu ya naibu waziri amesomea wapi au ndo wale waliosoma chuo kjachopatkana ghorofa namba 4 huku namba Moja mpk 3 Kuna huduma zngne zisizohusiana na mambo ya elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.